Raffa
Senior Member
- May 28, 2024
- 182
- 120
Mtu anayeweza kubadili jina in full kweli atashindwa kufoji nyaraka zingine za Fedha?Binadamu wanabadilika Kila siku hivyo acha kukariri tabia ya mtu ya mwaka na mwaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anayeweza kubadili jina in full kweli atashindwa kufoji nyaraka zingine za Fedha?Binadamu wanabadilika Kila siku hivyo acha kukariri tabia ya mtu ya mwaka na mwaka
Ameshatubu hayo mengine asamehe tu ila kwa sasa anatufaa sana.Mtu anayeweza kubadili jina in full kweli atashindwa kufoji nyaraka zingine za Fedha?
Asamehewe na nani? Makonda hata huo uRC kapendelewa sanaAmeshatubu hayo mengine asamehe tu ila kwa sasa anatufaa sana.
Mbona wewe hujapendelewa?Asamehewe na nani? Makonda hata huo uRC kapendelewa sana
Nimependelewa sana na Mungu sio wanadamuMbona wewe hujapendelewa?
Ukapewa cheo gani?Nimependelewa sana na Mungu sio wanadamu
Kwenye taasisi za umma hii ni very common nduguHapa tunazungumzia pesa iliyotolewa then ikarudishwa Serikali baada ya Mradi kukamilika with the respective BOQ.
Mtaje mtu mmoja mwingine kumsaidia Lucas Mwashambwa
Mambo ya Lucas Mwashambwa sijui ata kama Kafulila anataarifa na hizi discussion humu.Siasa bwana. Yaani huyu kafulila mbona anapata sifa kiasi hiki sasa hivi. Kafulila si wajana wala juzi, lakini why sasa hivi ukiingia JF vichwa vya habari ni Kafulila tu??
Au ni yeue mwenyewe anamiliki account zaid ya kumi akijisifu ionekane ni watu wengine wanamsifu?
Sijakataa kumsifu mtu, lakini akisifiwa muda mfupi kabla ya uchaguzi tunapata na wasiwasi
IKULUUkapewa cheo gani?
Ndio unafanya usafi pale?IKULU
Wengine waliofanya hivyo ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi, walirejesha Fungu kubwa Serikalini ili wapewe sifa na Jiwe huku nusu ya watendaji wake wakiwa hawajalipwa chochote.Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya watanzania. Miongoni mwa watu hao basi ni hawa watu wawili ambao wamewahi ishitua Tanzania na kugusa mioyo ya mamilioni ya watanzania.
Ngoja niwape story bila kuwachosha kuelekea wikendi. Ilikuwa hivi Mheshimiwa Chuma Mwenyewe David Kafulila akiwa katibu Tawala Mkoa wa Songwe alipewa Billion Sita kujenga mpaka kumaliza ujenzi wa Makao makuu ya mkoa wa Songwe yanayopatikana katika kata ya Mlowo Eneo la Nselewa. Lakini Chuma kwa kutumia mfumo wa Force Akaunti katika ujenzi wa Makao makuu hiyo hakumaliza pesa hiyo.
Ambapo mpaka jengo linamalizika na kukamilika Chuma Kafulila akabakisha Chenji ya Karibu Billion Mbili.Siku hiyo anasoma taarifa hiyo mbele ya waziri mkuu mwaka 2020 Ofisi za makao makuu ya mkoa ,watu wote walibaki Midomo wazo na kustaajabu Uzalendo alio uonyesha CHuma Kafulila. Nakumbuka siku hiyo alisoma taarifa hiyo kwa umakini na utulivu wa hali ya juu sana. Na kwa bahati nzuri mimi mwenyewe nilikuwepo siku hiyo na nilikuwa karibu sana eneo la Tukio na nilikuwa nimesimama jirani na Mheshimiwa David Silinde ambaye siku hiyo alipewa nafasi ya kuzungumza pia. Nilikuwa jirani maana nilikuwa ni kiongozi wakati huo kwenye jumuiya ya vijana yaani UVCCM.
Siku hiyo nakumbuka wakati tunarejea majumbani Chuma Kafulila alikuwa ni gumzo sana tena sana midomoni mwa watu ,kwa namna alivyo onyesha uzalendo wa kipekee na uaminifu wa kiwango cha juu sana.
Mwingine ni Dada wa Taifa na Rais wa IPU na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini.huyu sina sababu ya kueleza mengi maana mnakumbuka Billion kadhaa alizorejesha serikalini baada ya kubana matumizi kule Bungeni.
Nimeamua niandike haya kueleza kuwa kuna watu ni waaminifu na wazalendo sana,ambao miongoni mwao ni hawa niliowataja hapa.
Jiulizeni ndugu zangu watanzania ni mara ngapi mmesikia kuwa mradi fulani Umepelekewa mamillioni kwa mamillioni ya pesa, lakini pesa zimekwisha na mradi haujafika hata nusu na hela haieleweki iliko kwenda? Mara ngapi mmesikia miradi kama vile ujenzi wa shule au kituo cha afya au barabara au usambazaji wa maji unakatu umekwama kukamilika kwa kuwa tu mapesa yaliyotolewa yameliwa na kuisha kabla hata mradi haujafika hata Nusu yake? Hamjaona haya wanapofanya ziara mawaziri wetu huko mikoani wakisikitika mpaka wanatamani kulia baada ya kukuta pesa zimeliwa? Hamjaona waziri mkuu wetu akiongea kwa uchungu na kwa huzuni na kuagiza ukaguzi na uchunguzi ufanyike kubaini waliotafuna pesa?
Lakini vyuma hivi Mheshimiwa Dkt Tulia pamoja na David Kafulila vilirejesha Chenji ya mamilioni kwa mamilioni,pesa ambazo wangeamua kuzichepusha kutunisha akaunti zao benki. Lakini kwa uzalendo wao wakasema hapana acha turejeshe pesa hizi ili zikajenge vituo vya afya ,shule, usambazaji wa maji safi na salama,umeme, barabara n.k.
Mwisho niseme tu kuwa mimi ni mzalendo na nimekuwa na tabia ya kutetea na kuwasemea wazalendo wote. Mimi sioni haya wala aibu kumtetea na kumsemea mzalendo bure kabisa pasipo malipo ya aina yoyote ile wala kupewa hata mia tano tu ya Vocha. Nataka Taifa liwe na utamaduni wa kuwaunga mkono wazalendo na wachapakazi wa Taifa letu ,tusiache wakachafuliwa na kushambuliwa na wabaya .ndio maana kuna watu awali wakasema mara nalipwa kwa uchawa ,wengine wakasema nalipwa na Mheshimiwa Dkt Tulia,wengine wakasema Nalipwa na Mwamba Mwenyewe Paul Makonda na sasa wengine wanasema nalipwa na Chuma Kafulila.ila hawasemi nalipwa shilingi ngapi na kwanini nilipwe na kila mtu na na kwa watu wote hao? Na hawasemi kwamba wao wanalipwa na nani kuchafua watu humu jukwaani na mitandaoni.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Elewa hivyo hivyo sio wote tulioko hapa ni machawaNdio unafanya usafi pale?
Tena wewe ndio Chawa pro max Ikulun unamwagilia mau?Elewa hivyo hivyo sio wote tulioko hapa ni machawa
Kafulila ni Bora kama Makonda na Tulia au unasemaje?Wengine waliofanya hivyo ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi, walirejesha Fungu kubwa Serikalini ili wapewe sifa na Jiwe huku nusu ya watendaji wake wakiwa hawajalipwa chochote.
Hizo sarakasi kwa Nchi ya Tanzania ni za kawaida mno, kuna Mashirika yalikopa Benki ili kulipa Gawio.
Unapoleta Uchawa wako ni vema ukawauliza wanaokulipa, Tunatambua Juhudi binafsi za Kafulila za kulazimisha Utukufu ili Arudi bungenina kuna ID 4 hapa JF za mazombie anayoyatumia na kwa sasa umeongezeka wewe.
Hapa JF hakuna Bwege wa kumdanganya kibwege namna hiyo
Kwani mtu kujipanga kurudi Bungeni Kuna shida?Wengine waliofanya hivyo ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi, walirejesha Fungu kubwa Serikalini ili wapewe sifa na Jiwe huku nusu ya watendaji wake wakiwa hawajalipwa chochote.
Hizo sarakasi kwa Nchi ya Tanzania ni za kawaida mno, kuna Mashirika yalikopa Benki ili kulipa Gawio.
Unapoleta Uchawa wako ni vema ukawauliza wanaokulipa, Tunatambua Juhudi binafsi za Kafulila za kulazimisha Utukufu ili Arudi bungenina kuna ID 4 hapa JF za mazombie anayoyatumia na kwa sasa umeongezeka wewe.
Hapa JF hakuna Bwege wa kumdanganya kibwege namna hiyo
Inawezekana vipi kitu cha bilioni 6 kikamilike kwa bilioni 4? Au budget ilizidishwa in the first place?Acha kukurupuka hapa.sijasema habari za kutokutumia pesa kabisa,bali ni kutumia pesa kwa nidhamu na kujibana na hatimaye kumaliza kazi kwa ubora ule ule unaohitajika na pesa nyingine kubakia kama chenji na kuirudisha serikalini.
Hivi si tulikubaliana kuwa dada wa Taifa ni mmoja tu? Sasa huyu wa kwako umemtoa wapi?Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya watanzania. Miongoni mwa watu hao basi ni hawa watu wawili ambao wamewahi ishitua Tanzania na kugusa mioyo ya mamilioni ya watanzania.
Ngoja niwape story bila kuwachosha kuelekea wikendi. Ilikuwa hivi Mheshimiwa Chuma Mwenyewe David Kafulila akiwa katibu Tawala Mkoa wa Songwe alipewa Billion Sita kujenga mpaka kumaliza ujenzi wa Makao makuu ya mkoa wa Songwe yanayopatikana katika kata ya Mlowo Eneo la Nselewa. Lakini Chuma kwa kutumia mfumo wa Force Akaunti katika ujenzi wa Makao makuu hiyo hakumaliza pesa hiyo.
Ambapo mpaka jengo linamalizika na kukamilika Chuma Kafulila akabakisha Chenji ya Karibu Billion Mbili.Siku hiyo anasoma taarifa hiyo mbele ya waziri mkuu mwaka 2020 Ofisi za makao makuu ya mkoa ,watu wote walibaki Midomo wazo na kustaajabu Uzalendo alio uonyesha CHuma Kafulila. Nakumbuka siku hiyo alisoma taarifa hiyo kwa umakini na utulivu wa hali ya juu sana. Na kwa bahati nzuri mimi mwenyewe nilikuwepo siku hiyo na nilikuwa karibu sana eneo la Tukio na nilikuwa nimesimama jirani na Mheshimiwa David Silinde ambaye siku hiyo alipewa nafasi ya kuzungumza pia. Nilikuwa jirani maana nilikuwa ni kiongozi wakati huo kwenye jumuiya ya vijana yaani UVCCM.
Siku hiyo nakumbuka wakati tunarejea majumbani Chuma Kafulila alikuwa ni gumzo sana tena sana midomoni mwa watu ,kwa namna alivyo onyesha uzalendo wa kipekee na uaminifu wa kiwango cha juu sana.
Mwingine ni Dada wa Taifa na Rais wa IPU na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini.huyu sina sababu ya kueleza mengi maana mnakumbuka Billion kadhaa alizorejesha serikalini baada ya kubana matumizi kule Bungeni.
Nimeamua niandike haya kueleza kuwa kuna watu ni waaminifu na wazalendo sana,ambao miongoni mwao ni hawa niliowataja hapa.
Jiulizeni ndugu zangu watanzania ni mara ngapi mmesikia kuwa mradi fulani Umepelekewa mamillioni kwa mamillioni ya pesa, lakini pesa zimekwisha na mradi haujafika hata nusu na hela haieleweki iliko kwenda? Mara ngapi mmesikia miradi kama vile ujenzi wa shule au kituo cha afya au barabara au usambazaji wa maji unakatu umekwama kukamilika kwa kuwa tu mapesa yaliyotolewa yameliwa na kuisha kabla hata mradi haujafika hata Nusu yake? Hamjaona haya wanapofanya ziara mawaziri wetu huko mikoani wakisikitika mpaka wanatamani kulia baada ya kukuta pesa zimeliwa? Hamjaona waziri mkuu wetu akiongea kwa uchungu na kwa huzuni na kuagiza ukaguzi na uchunguzi ufanyike kubaini waliotafuna pesa?
Lakini vyuma hivi Mheshimiwa Dkt Tulia pamoja na David Kafulila vilirejesha Chenji ya mamilioni kwa mamilioni,pesa ambazo wangeamua kuzichepusha kutunisha akaunti zao benki. Lakini kwa uzalendo wao wakasema hapana acha turejeshe pesa hizi ili zikajenge vituo vya afya ,shule, usambazaji wa maji safi na salama,umeme, barabara n.k.
Mwisho niseme tu kuwa mimi ni mzalendo na nimekuwa na tabia ya kutetea na kuwasemea wazalendo wote. Mimi sioni haya wala aibu kumtetea na kumsemea mzalendo bure kabisa pasipo malipo ya aina yoyote ile wala kupewa hata mia tano tu ya Vocha. Nataka Taifa liwe na utamaduni wa kuwaunga mkono wazalendo na wachapakazi wa Taifa letu ,tusiache wakachafuliwa na kushambuliwa na wabaya .ndio maana kuna watu awali wakasema mara nalipwa kwa uchawa ,wengine wakasema nalipwa na Mheshimiwa Dkt Tulia,wengine wakasema Nalipwa na Mwamba Mwenyewe Paul Makonda na sasa wengine wanasema nalipwa na Chuma Kafulila.ila hawasemi nalipwa shilingi ngapi na kwanini nilipwe na kila mtu na na kwa watu wote hao? Na hawasemi kwamba wao wanalipwa na nani kuchafua watu humu jukwaani na mitandaoni.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
EphenWapo wengine na ndio maana nimeomba tuwataje ili tuwaambue kwa uzalendo wao na kuwatia moyo.
Wanasema alitumia Force account na Local fundi, alitumia pesa kidogo sana ndio maana watu wanamsifu sanaInawezekana vipi kitu cha bilioni 6 kikamilike kwa bilioni 4? Au budget ilizidishwa in the first place?