Naomba kufahamishwa dawa nzuri ya kuua Panya, unga mweusi umedunda

Weka dawa ya binadamu Indocid kwenye nyanya. Indocid ni jina lingine la vidonge alivyo kuambia mchangiaji mmoja kule juu.
 
Panya wa siku hizi Hawali mavyakula au mavitu kizembe, Utasubiri sana.

Cha kufanya Tumia mtego Ule wa gundi, weka wanapopita.

Watanasa mpaka uwacheke.

,andaa plaizi ya kuwabandulia kwenye mtego waliponasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpk uwacheke
 
[emoji23][emoji23][emoji23] panya wenye kupata mlo kamili sio ?
 
Pants huwa nawatazama kwa macho matatu.mawili ya ulimwengu huu wa nyama na damu.jicho moja la ulimwengu wa kiroho.tangu TU rafiki yangu aliposhuhudia panya mmoja anavuta kiroba Cha unga wa sembe Cha kilo kumi kutoka kabatini huku akiondoka nacho.
 
Pants huwa nawatazama kwa macho matatu.mawili ya ulimwengu huu wa nyama na damu.jicho moja la ulimwengu wa kiroho.tangu TU rafiki yangu aliposhuhudia panya mmoja anavuta kiroba Cha unga wa sembe Cha kilo kumi kutoka kabatini huku akiondoka nacho.
Kisha atatatua vipi hilo tatizo?
 
UMUNYU tumia njia hii chukua Diaba sijui Jaba liweke maji yafike nusu, halafu chukua Pumba za mahindi ziweke katika ilo Jaba lenye maji hadi ionekane kama Jaba lina pumba maji yasionekane.
Panya watajua kuwa wewe umehifadhi pumba huko kwakua zimeloa zitakua zinatoa harufu fulani basi wakiingia wataishia kuzama na utawanasa wengi...utaamua kuwaua au kupika!! Kidding...
 
Dawa yake kuu ni kuwatafuna kwanza.
 
Nilifanya kama ulivyosema tatizo hawali mchanganyo wangu
Haina haraka cha msingi uweke kwenye maeneo wayapendayo,kitendo cha wao kutojua chanzo cha kifo watahama na kutafuta makazi mapya
 
Hao panya ukitaka kuwawekea sumu unatangazaa[emoji23][emoji23][emoji23], wenzio wanasikia then wanahamia kwa jirani,baada ya muda wanarudi,

Na kama sumu muweke na nyumba jirani zinazokuzunguka,bila hivyo utakuwa unajisumbua tu,wanahama na wakirudi wanarudi kwa speed ya 4G.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…