Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Dadekiii

Ngoja nifanye mpango niamie huko
 
Hapa wanakuja madalali wa vitunguu na wengine wanunuzi ila wanakaa misimu 2 wa tatu hana mtaji.
Kama alikuwa ananunua gunia 70-100 msimu wa 3 ataanza kununua gunia 3-10.
Hapa Singida kama mpenda chini hutoboi. Unaweza kuwa na pisi kali unatembea naye barabarani ila ukakutana na mwingine ukaona huyu uliyenaye hafai.
Nyapu zao zina utelezi fulani hivi na haukauki. Unaweza piga hata masaa 4 ni wewe tu na wanapumzi kinoma.
Mm nishaacha umalaya maana unaweza kufa.
Rangi ya mtume au sio..ila nasikia wakicheka tu basi wanaharibu kazi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Single maza basi watakuwa wengi sana huko
 
Madalali na wafanyabiashara wa vitunguu wameacha pesa sana na wengine wanakosa mpk mtaji.
Utakuta jamaa alikuwa ananunua mpk gunia za vitunguu 70-100 ila msimu wa 3, anaanza kununua gunia 3-10 mtaji umekata.
Singida ni shida.
Wahuni mnajisevia tu [emoji16]aisee huko kuwa na demu mmoja mwiko
 
Hahahaaa..umetisha kinyama..

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna jamaa wawili wa dar nawafahamu kabisa ni wafanyabiashara wa vitunguu.
Nawahifadhi jina, walikuwa wananunua mpaka gunia 70 halafu kila siku na kitunguu namba 1 ila walidumu misimu 2 tu wa tatu.
Sasa hivi wananuna mpaka chenga halafu gunia hazifiki 10.
Huku pisi kali ni za kumwaga halafu ukiwa na hela utakula sana.
Hahahaaa..umetisha kinyama..

#MaendeleoHayanaChama
 
Madalali na wafanyabiashara wa vitunguu wameacha pesa sana na wengine wanakosa mpk mtaji.
Utakuta jamaa alikuwa ananunua mpk gunia za vitunguu 70-100 ila msimu wa 3, anaanza kununua gunia 3-10 mtaji umekata.
Singida ni shida.
Sema uzinzi unamaliza hela sana [emoji16]

Kumbe vitunguu vinalipa sana mkuu ?

Nimeanza kuwa na interested na hii biashara
Toka niko Morogoro sema sijawahi jaribu
 
Matumiz kila mkoa madogo ni wee tu.maji shida kivip ulikaa wap au mwaka gam? Hamlipi bili labda
 
Ukifika singida kama wee ni mwanaume hakikisha unafunga zipu ya suruali yako vizuri, usihangaike na wanawake, kwani kwa madawa ya kukufilisi kwa ngono wako vizuri mno.. jamaa alitoka Nairobi kununua vitunguu ilibidi ndugu zake wakamtafute. Alihamia kwa mwanamke hana tena mtaji. Siyo mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…