Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuhMazungu yana njia nyingi sana ya kutuburuza amini husiamini, na zote naziona nikila bangi.
Yanatuburuza kiuchumi, kifikra, magonjwa, kielimu, mavazi mpaka kwenye tendo la ndoa.
Hivi lini tutajielewa Wafrika?
Kwa mfano hiyo picha ya Monalisa, Mtanzania inakusaidia nini?
Kwa jinsi mnavyo ihelezea, haina tofauti na muembe ulio fananishwa na baba wa Taifa.
Ni time ya kufanya ubunifu wetu, kwa sababu mazingira yanaturuhusu tutengeneze History mpya.
Mazungu sio majitu mazuri kwetu hata kidogo, ntawapa mfano mmoja.
Mazungu yanatupa mikopo Afrika, kisha yanaleta na ushoga.
Mfano yakikupa milioni kumi mkopo, ukiizinisha ushoga, yatauza vilainishi vya milion hamsini.
Yataleta madawa kwa waathirika wa ushoga nakuuza milion hamsini.
Yatauza vifaa vya kufanyia vipimo milioni hamsini.
Kisha watatoa msaada wa pampas bure kwa walio alibikiwa malinda ya min kabaang.
Huo ni mfano wa milioni kumi kuzaa milion mia na hamsini kupitia ushoga tu.
Ni time ya kuachana kuburuzwa Kifikra.
Huo mwaka Elfu moja mia sita ulikuwepo? Babu yako alikuwepo? Mzaa baba yako alikuwepo? Mzaa babu yako yule alikuwepo?
Achana na vitu usivyo vijua hususani vya Mataifa hayo, kwa sababu ndio yanatufunga kifikra.
Tuwe na ubunifu wa mazingira yetu na tupende vya kwetu.
Kuna picha nzuri Tanzania kama ya Mwl Nyerere?
Nafikiri hii mada ingekuwa ya kuwapa mwelekeo wachoraji wetu ideas kuongeza aina za ubunifu kwa watu Mashuhuli wa Taifa ili na Afrika kwa ujumla.
Au tukubali kuwa watumwa kwa kila kitu mpaka kifikra?
Ni haki katika kila Watanzania wanne mmoja kibuyu.
Acha uongo mkuu Yohana ni mwanafunzi wa Yesu soma jinsi alivyowachangua wanafunzi wake acheni kuweka vitu ambavyo havijaandikwa kwa Biblia. Tatizo mnatumia Lugha ya moja kwa moja mnashindwa kuitafasiri Biblia. Yesu alipokua msalabani alimkabidhi Mama Bikira Maria mikono Yohana na Yohana mikononi mwa Bikira Maria na sio kwa Magdalena. Mama Bikira Maria ni mama wa kwetu sote kutokana na Yesu kumkabidhi kwetu kutumia Yohana. Acha mkuu kueneza uongo uliza viongozi au waumini wa madhehebu mbali mbali kwa kuja ukweli mkuu. Kwenye mwamba Kanisa Kantoliki la Mitume lishajengwa mtafurunguta lakini wapi. Aksante mkuu.Uko sahihi. Yohana katika biblia ndo alikua mdogo kabisa katika mitume wake na ndo wa mwisho kufa. Biblia inaposema mwanafunzi aliye mpenda Yesu alikuwa ndo huyo. Si tu kuwa yesu alimpenda bali pia walifanana sana kiasi hata Yuda alitumia ishara ya busu ili aakari wasilamate asiye. Huyo ndo Yohana ambaue Yesu alimzaa na Magdaleni. Narudia siyo mimi bali davinci code!
Samahani mkuu nimeuliza swali hapo juu ila sijajibiwa nahaisi wewe unaweza nijibu, nimeuliza kuwa je yesu alikuwa hatakiwi kuwa na mtoto? Maana naona ndipo mada ilipohamia kwa sasa.Acha uongo mkuu Yohana ni mwanafunzi wa Yesu soma jinsi alivyowachangua wanafunzi wake acheni kuweka vitu ambavyo havijaandikwa kwa Biblia. Tatizo mnatumia Lugha ya moja kwa moja mnashindwa kuitafasiri Biblia. Yesu alipokua msalabani alimkabidhi Mama Bikira Maria mikono Yohana na Yohana mikononi mwa Bikira Maria na sio kwa Magdalena. Mama Bikira Maria ni mama wa kwetu sote kutokana na Yesu kumkabidhi kwetu kutumia Yohana. Acha mkuu kueneza uongo uliza viongozi au waumini wa madhehebu mbali mbali kwa kuja ukweli mkuu. Kwenye mwamba Kanisa Kantoliki la Mitume lishajengwa mtafurunguta lakini wapi. Aksante mkuu.
si Mariam *****... Yasemekana Mariam mwingine na ametajwa kwenye bible hata wanafunzi Wa Yesu walikuwa na wivu nae na walilalamika why anamkiss kwa muda mrefu na Mara kwa Mara... Pia yasemekana ni mkewe na ile harusi aliyo tengeneza pombe kimiujiza ilikuwa harudi yake... Kwa wana historian na pia inapatikana kwenye kitabu cha injili ya Barnaba... Nimesoma soma tu kwenye vyanzo mbali mbalivitu nilivyogundua humo kuna ishu kama ya freemason,kuna society inaitwa skull n bones, kuna khits, kuhusu kanisa, kuhusu mnara wa paris kuhusu mstari wa greenwich, kuhusu machiano na olympics kuhusu mungu venus na mambo meeeengi sana na kubwa zaidi ni kwamba ile picha ya monalisa inabsura mbili ikiwamo ya huyo jamaa da vinci, na humo anasema kwamba ktk wale wafuasi wa yesu 12 na pia kuhusu maria magdalena kwamba alikuwa na mahusiano na jesus aah we jaribu kusoma vizuuri hicho kitabu utaelewa tuu.
wewe ni bonge la mjinga yaani mambo ya dini kama huelewi ati waulizwe viongozi Wa dini???? Wewe biblia hujui kusoma? Walioandika ili nyie msome muelewe.. So usipoelewa ukamuilize mwingine aliyesoma ati akueleweshe? Tumia bongoAcha uongo mkuu Yohana ni mwanafunzi wa Yesu soma jinsi alivyowachangua wanafunzi wake acheni kuweka vitu ambavyo havijaandikwa kwa Biblia. Tatizo mnatumia Lugha ya moja kwa moja mnashindwa kuitafasiri Biblia. Yesu alipokua msalabani alimkabidhi Mama Bikira Maria mikono Yohana na Yohana mikononi mwa Bikira Maria na sio kwa Magdalena. Mama Bikira Maria ni mama wa kwetu sote kutokana na Yesu kumkabidhi kwetu kutumia Yohana. Acha mkuu kueneza uongo uliza viongozi au waumini wa madhehebu mbali mbali kwa kuja ukweli mkuu. Kwenye mwamba Kanisa Kantoliki la Mitume lishajengwa mtafurunguta lakini wapi. Aksante mkuu.
Sasa mkuu kama hawezi kuielewa anapoisoma kwanini tusimpatie njia mbadara na hilo ni ujinga?wewe ni binge la mjinga yaani mambo ya dini kama huelewi ati waulizwe viongozi Wa dini???? Wewe biblia hujui kusoma? Walioandika ili nyie msome muelewe.. So usipoelewa ukamuilize mwingine aliyesoma ati akueleweshe? Tumia bongo
Mkuu acha kuifunga akili yako kwa kigezo cha imani. Biblia ina vitabu 66 wakati kuna vitabu vingi sana vimeondolewa mpaka kubaki idadi hiyo aliyeviondoa si Mungu bali ni binadamu kwa matakwa yake.Haijaandikwa popote kwenye Biblia kuwa Yesu alioa. Haya mambo lazima ufike ukomo usiende beyond thinking. Munamchukulia Yesu kama mwanadamu wa kawaida kama sisi.
Hivi vitabu vya Gospel of Peter na Magdalene vinapatikana wapi aisee?Mkuu acha kuifunga akili yako kwa kigezo cha imani. Biblia ina vitabu 66 wakati kuna vitabu vingi sana vimeondolewa mpaka kubaki idadi hiyo aliyeviondoa si Mungu bali ni binadamu kwa matakwa yake.
Moja kati ya vitabu vilivyoondolewa ni kitabu cha "gospel of peter" na "gospel of Marry magdalen"
Vitabu hivi sio tu vinaonesha ukaribu wa Yesu na Marry bali vinaelezea maisha ya yesu akiwa kawa binadamu wa kawaida tena kijana wa kiyahudi.
Katika biblia ya kawaida hakuna kitabu kinachoelezea maisha ya yesu kama mwanadamu wa kawaida bali vinamuelezea katika hali ya uungu.
Hii ni moja ya kazi ya mfalme constantine ya kuunganisha upagani na ukristo.
Inabidi tutafte kujua kweli na si kuamini tuu kwa kutumia source moja ya biblia tena iliyochakachuliwa
Inaaminika Mariam alizaa watoto wengine na Yusufu, kati ya watatu au wanne.Mkuu naomba kujua kama Maria mama wa Yesu pamoja na mume wake Yusufu walipata watoto/mtoto baada ya kumzaa Yesu. Na kama walimpata, huo ukoo unajulikana kwa sasa ni akina nani? Natanguliza shukrani
Lini Yesu alitengeneza pombe kimiujiza?si Mariam Magdarena *****... Yasemekana Mariam mwinginw na ametajwa kwenye bible hata wanafunzi Wa Yesu walikuwa na wivu nae na walilalamika why anamkiss kwa muda mrefu na Mara kwa Mara... Pia yasemekana ni mkewe na ile harusi aliyo tengeneza pombe kimiujiza ilikuwa harudi yake... Kwa wana historian na pia inapatikana kwenye kitabu cha injili ya Barnaba
[emoji12] [emoji12] kwa sababu sio originalView attachment 426777 hahaha [HASHTAG]#Monalisa[/HASHTAG]. Knobs mimi sioni ohochote apo.
Kwanini unafikiri anaifunga akili yake..?Mkuu acha kuifunga akili yako kwa kigezo cha imani.
huu ni uongo mwingine...Biblia halisi inavitabu 72/73Biblia ina vitabu 66
unaweza ukatupa sababu ya kwanini vitabu hivyo vikaondolewa...? Unafahamu lengo la kuja kwa Yesu ulimwenguni...?wakati kuna vitabu vingi sana vimeondolewa
sio kuondoa tu...pia aliyeandika vitabu hivyo ni binadamu pia...Hata hivyo ambavyo havikuondolewa pia viliandikwa na binadamu piampaka kubaki idadi hiyo aliyeviondoa si Mungu bali ni binadamu kwa matakwa yake.
Ndio maana nikakuuliza unajua lengo la Yesu kuja duniani...??Moja kati ya vitabu vilivyoondolewa ni kitabu cha "gospel of peter" na "gospel of Marry magdalen"
Sio akiwa kijana hata akiwa mtoto maisha yake watu walipata kuyaandika..."gospel of Nativity"... Unafikiri sisi Wakristo tunaotaka wokovu tuliitaji kujua utoto wa Yesu au Ujana wake..? Ili iweje...Yesu alianza kazi aliyotumwa na Baba yake akiwa na miaka 33... Sisi tuna-focus na kazi zake...Mambo ya utoto na ujana wake ni mambo ya kishabiki tuu..Vitabu hivi sio tu vinaonesha ukaribu wa Yesu na Marry bali vinaelezea maisha ya yesu akiwa kawa binadamu wa kawaida tena kijana wa kiyahudi.
Ambayo siyo ya Kawaida ndio unaamini inaelezea ubinadamu wa Yesu..?Katika biblia ya kawaida
Yes! Kwakuwa Yesu ni Mungu...akuna kitabu kinachoelezea maisha ya yesu kama mwanadamu wa kawaida bali vinamuelezea katika hali ya uungu.
kabla huyo Constantine hajazaliwa Kanisa lilikuwepo ma Neno la Mungu lilikuwepo ..Sijui ulitaka kituambia kitu gani hapa..Hii ni moja ya kazi ya mfalme constantine ya kuunganisha upagani na ukristo.
umeshawahi kuona hiyo ambayo haijachakachuliwa...?Inabidi tutafte kujua kweli na si kuamini tuu kwa kutumia source moja ya biblia tena iliyochakachuliwa
Hivi vitabu vya Gospel of Peter na Magdalene vinapatikana wapi aisee?
Nini kilichokuogopesha...??Yaani mpaka nimeogopaa!