Huo uzi niliusomaga but sina uhakika na mleta uzi so sijazingatia sana uzi wake.Jizi ukimaanisha mwizi?
Kuna mahali kaandika kuwa kampa ujauzito mwanamke wa kizungu lakini yupo nchi tofauti na anayoishi...
Hata mimi nilifikiria hivyo GFB🙆🙆Niliposoma uzi mwanzo kwa namna alivyoandika kwa vificho nilidhani labda jamaa kaamua kuwa choko...
Kumbe mwamba kaongeza familia na anakuwa muoga muoga...
Kitu pekee naweza muhakikishia ni kwamba ajiandae kumpoteza huyo mke wake wa miaka 8 ya ndoa...
Huwa si shauri wazinzi, dhambi nilizonazo nimezichoka naagana nazo, hizi za wengine wajibebe😂Hata mimi nilifikiria hivyo GFB🙆🙆
Kwamba anataka kuoa mke wa pili au kazalisha mtu?
Weeeeh!! Toa kwanza ushauri then utueleze hizo dhambi zako.Huwa si shauri wazinzi, dhambi nilizonazo nimezichoka naagana nazo, hizi za wengine wajibebe😂
Hata mimi nilifikiria hivyo GFB🙆🙆
Kwamba anataka kuoa mke wa pili au kazalisha mtu?
DHambi zangu nikiziongea kuna mtu ataenda motoni bure maana hazibebeki, nina miezi 3 ninamsihi Mungu anisamehe hata hajajibu labda bado ananililiaWeeeeh!! Toa kwanza ushauri then utueleze hizo dhambi zako.
Woooi!! 🙌🙌🙌🙌Kampa mimba mwanamke mwingine wa kizungu, sasa anaomba ushauri namna gani amshirikishe mkewe wa ndoa...
Na kama ikitokea mkewe atataka divorce, je afanyeje?
Thank you Lovie Lady for peace adviceMcanada
Put it in mind that..That is now your ex Wife 🙃
You cheat on your wife..the woman you promised to spend the rest of your life with🤦♀️.......and you think we give a shit about your shattered self image? Oh but you're paranoid☹️depressed☹️and ill👎
Well isn't that just fucking ducky.. Imagine how your wife is going to feel when she finds out🧕🏻
Do your wife a favor and admit what you did/leave her☹️
She needs a man.. you clearly aren't one than a cheater ☹️
Peace of Advice :-
Prepare yourself for divorce..She won’t handle it☹️
Book an appointment with a counselor or therapist for yourself and kids🧕🏻
angalia post zangu vyema mkuu nimejiunga na JF sina muda mrefu sana na sikuwa mtu wa kupost post sana japo kazi yangu ni ya kuzunguka nchi tofauti profession yangu ni Information security.. au nikuandikie profile yangu yote.. ?Huo uzi niliusomaga but sina uhakika na mleta uzi so sijazingatia sana uzi wake.
Nimemfananisha na jamaa mmoja alikuwa na kamba sana, mara yuko uswiss mara sijui wapi...wadau walimgundua akakimbia id....nahisi ndiye
Tanzania unatokea mkoa gani nikushauri jambo mkuuangalia post zangu vyema mkuu nimejiunga na JF sina muda mrefu sana na sikuwa mtu wa kupost post sana japo kazi yangu ni ya kuzunguka nchi tofauti profession yangu ni Information security.. au nikuandikie profile yangu yote.. ?
Anza kunielezea nikusaidie kusali. Mie last born wake ujue!!DHambi zangu nikiziongea kuna mtu ataenda motoni bure maana hazibebeki, nina miezi 3 ninamsihi Mungu anisamehe hata hajajibu labda bado ananililia
Unafanana na watu wa BukobaTanzania kiasili Mimi ni mmakonde mwenye mchanganyo na mzulu
Kuna dhambi ambazo hata viungo vingine havipaswi kujua sembuse wewe😂😂Anza kunielezea nikusaidie kusali. Mie last born wake ujue!!
Appreciated🙏Jaribu kutumia mbinu ya Cost Benefit Analysis ( CBA) kupima athari zitakazotokea baada ya kumwambia Hilo Jambo ulilonalo.
Kama unaona linaweza kuleta madhara hasi Basi Ni Bora uvunge tu usimwambie chochote muendelee tu kuishi kwa amani mjenge familia yenu