Mcanada
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 982
- 1,942
Habari ya wakati huu wananchi wa JamiiForums, mimi ni mtanzania ninayeishi Canada naomba kufahamu kwasasa ni maeneo gani kwa mkoa wa Dar es salaam geografia yake ni tambarare na hayana watu wengi nataka kununua sqm 4000 - sqm 8000 nije kujenga apartments.
Nitashukuru kwa michango yenu.
Note: Eneo ninalohitaji Geografia yake iwe tambarare na hakuna mbanano mkubwa wa makazi ya watu.
Nitashukuru kwa michango yenu.
Note: Eneo ninalohitaji Geografia yake iwe tambarare na hakuna mbanano mkubwa wa makazi ya watu.