RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kibada ipi mkuu?Kibaha na Kibada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibada ipi mkuu?Kibaha na Kibada
Habari ya wakati huu wananchi wa JamiiForums, mimi ni mtanzania ninayeishi Canada naomba kufahamu kwasasa ni maeneo gani kwa mkoa wa Dar es salaam geografia yake ni tambarare na hayana watu wengi nataka kununua sqm 4000 - sqm 8000 nije kujenga apartments.
Nitashukuru kwa michango yenu.
Note: Eneo ninalohitaji Geografia yake iwe tambarare na hakuna mbanano mkubwa wa makazi ya wat
MAENEO YAFUATAYO YANAUZWA DAR-ES-SALAAM
1.UBUNGO MAWASILIANO IPO HEKA MOJA NA ROBO.
2.UBUNGO EXTERNAL HEKA ZIPO MBILI NUSU.
3.UBUNGO MAJI CHUMVI ZIPO HEKA TATU.
4.KIMARA TEMBONI ZIPO HEKA TATU(Hili eneo lote limezungushiwa ukuta na lina godown ndani)
*Maeneo yapo vizuri Sana yamekaa kiuwekezaji
*Kwa mawasiliano zaidi Tuwasiliane PM
KIJICHI - IKO TWMEKEHabari ya wakati huu wananchi wa JamiiForums, mimi ni mtanzania ninayeishi Canada naomba kufahamu kwasasa ni maeneo gani kwa mkoa wa Dar es salaam geografia yake ni tambarare na hayana watu wengi nataka kununua sqm 4000 - sqm 8000 nije kujenga apartments.
Nitashukuru kwa michango yenu.
Note: Eneo ninalohitaji Geografia yake iwe tambarare na hakuna mbanano mkubwa wa makazi ya watu.
Hivi kibada ipo upande gani?Kibaha na Kibada
Bunju eneo gani naweza kupata uwanja kwa kuanzia square meter 1,800 kwenda juu?Bunju, Boko, kigamboni,mbweni,ununio, utojutia pesa yake ni marketable areas hizi. Na wanakaa civilized yapo planned.
Mbona unaanza kumpangia tena mwenzako?! Ujenzi wa tambarare yeye ndio anataka. Sio unampeleka mtu kiwanja kinamteremko mkali aanze kuingia magharama ya vifusi na ujenzi wa kuweka mazege kila kona.Apartments zinafuata tambarare au population and businesses?
Amesema ni maeneo ambayo yalikuwa ni magodown.Naona unataka umtapeli
Ubungo mawasiliano heka 2 unazipata wapi??
Pia ubungo external heka 2 unazipata wapi ?
Hayo maeneo kiwanja tu cha sqm 400 kitupu ambacho hakijajengwa ni ngumu kupata. Sembuse heka 2
Check na madalaliBunju eneo gani naweza kupata uwanja kwa kuanzia square meter 1,800 kwenda juu?
Mbona unaanza kumpangia tena mwenzako?! Ujenzi wa tambarare yeye ndio anataka. Sio unampeleka mtu kiwanja kinamteremko mkali aanze kuingia magharama ya vifusi na ujenzi wa kuweka mazege kila kona.
Mwamba ngoma huvutia kwake!Wabongo aisee,umeambiwa Dar
Maeneo tambarare kukiwa na uswahili wa kuuziana tuviwanja tudogo msimu wa mvua maji hayana pa kwenda, mitaro ya maji machafu inatuamisha. Ndio kinachoendelea Chanika kwa sasaNaona unajikaribisha kwenye mafuriko kwa kutafuta tambarare
Kinondo, Bunju ABunju eneo gani naweza kupata uwanja kwa kuanzia square meter 1,800 kwenda juu?
Kigamboni!Hivi kibada ipo upande gani?