Njoo Dodoma nikuonyeshe yapo maeneo mengi hayana watu kabisa.mfano maeneo ya zana njia ya Arusha au kama unakwenda iringa .kuna jamaa yangu mmoja amejenga mabanda 6 fiti 50 kwa 25 kwa ajili ya ufugaji na kilimo cha umwagiliaji .amepatiwa sanaHabari ya wakati huu wananchi wa JamiiForums, mimi ni mtanzania ninayeishi Canada naomba kufahamu kwasasa ni maeneo gani kwa mkoa wa Dar es salaam geografia yake ni tambarare na hayana watu wengi nataka kununua sqm 4000 - sqm 8000 nije kujenga apartments.
Nitashukuru kwa michango yenu.
Note: Eneo ninalohitaji Geografia yake iwe tambarare na hakuna mbanano mkubwa wa makazi ya watu.
Kibaha na KibadaHabari ya wakati huu wananchi wa JamiiForums, mimi ni mtanzania ninayeishi Canada naomba kufahamu kwasasa ni maeneo gani kwa mkoa wa Dar es salaam geografia yake ni tambarare na hayana watu wengi nataka kununua sqm 4000 - sqm 8000 nije kujenga apartments.
Nitashukuru kwa michango yenu.
Note: Eneo ninalohitaji Geografia yake iwe tambarare na hakuna mbanano mkubwa wa makazi ya watu.
Wabongo aisee,umeambiwa DarNjoo Dodoma nikuonyeshe yapo maeneo mengi hayana watu kabisa.mfano maeneo ya zana njia ya Arusha au kama unakwenda iringa .kuna jamaa yangu mmoja amejenga mabanda 6 fiti 50 kwa 25 kwa ajili ya ufugaji na kilimo cha umwagiliaji .amepatiwa sana
Habari ya wakati huu wananchi wa JamiiForums, mimi ni mtanzania ninayeishi Canada naomba kufahamu kwasasa ni maeneo gani kwa mkoa wa Dar es salaam geografia yake ni tambarare na hayana watu wengi nataka kununua sqm 4000...
Kibaha imehamia Dar kumbeKibaha na Kibada
Na mimi ndo nashanga......ukiweka apartment Goba za 150m una uwezo wa kukusanya rent ya 5m mwezi, wakati ukiweka apartment hizo hizo 150m Boko au Kibaha utakusanya sio zaidi ya 2.5m kwa mwezi, hapo jiulize wapi pakuwekeza? Masuala ya tambalare sio muhimu.Apartments zinafuata tambarare au population and businesses?
Na mimi ndo nashanga......ukiweka apartment Goba za 150m una uwezo wa kukusanya rent ya 5m mwezi, wakati ukiweka apartment hizo hizo 150m Boko au Kibaha utakusanya sio zaidi ya 2.5m kwa mwezi, hapo jiulize wapi pakuwekeza? Masuala ya tambalare sio muhimu.
Mkuu usinishambulie tu nina sababu za msingi kwanini sihitaji kuzijenga hizi apartments kwenye maeneo yenye mabonde na miinuko/milima.. nina sababu za msingi kabisa japo sitaziweka wazi hapa.. asanteNa mimi ndo nashanga......ukiweka apartment Goba za 150m una uwezo wa kukusanya rent ya 5m mwezi, wakati ukiweka apartment hizo hizo 150m Boko au Kibaha utakusanya sio zaidi ya 2.5m kwa mwezi, hapo jiulize wapi pakuwekeza? Masuala ya tambalare sio muhimu.
Mbweni na Ununio kuzuri zaidiBunju, Boko, kigamboni,mbweni,ununio, utojutia pesa yake ni marketable areas hizi. Na wanakaa civilized yapo planned.
Pesa yake tuMbweni na Ununio kuzuri zaidi
Yeah hayo maeneo aandae mpunga atawapangisha hata wazungu kwa US$Pesa yake tu