Naomba kufahamu solar itakayoweza kuchukua nafasi ya TANESCO nyumbani

Naomba kufahamu solar itakayoweza kuchukua nafasi ya TANESCO nyumbani

Hali ni tete, joto kali umeme hakuna,

Naomba kufahamu badget inayotosha kupata umeme wa solar ambao unaweza kuchukua majukumu yote ya TANESCO

1. Taa
2. Feni tatu na AC 1,
3. Fridge
4. TV mbili
5. Computer mbili za desktop
6. Oven ila haitumik mara nyingi

Yaweza ni cost kiasi gani?
Hapo cha kwanza, nikujua unatumia umeme kiasi gani kwa siku.

Angalia meter ya luku kujua unatumia unit ngapi kwa siku. Kila unit ni Kwh. Yaani kilowati kwa kila lisaa.

Hapo sasa ndiyo unaweza mpa muuza solar atakwambia unahitaji solar kiasi gani inayoweza zalisha kiasi hicho cha matumizi na bei yake.

Maana ukisema tu feni, taa, friji, tv, vyote hivi hutofautiana matumizi yake ya umeme kulingana na aina na matumizi.
 
Kuna rafiki yangu Mzimbabwe wao nchi ilishashindikana hivyo umeme wake ni solar hajawahi tumia umeme wa grid yao. Alishangaa kuja bongo kukuta wengi wana emergency generators badala ya kuwa na solar kama mbadala wa wachawi wa taifa.

Tulizoea umeme kukata mara moja moja, sasahivi Bi Msafiri anaupiga mwingi unakata hovyo miezi kadhaa sasa sera imekuwa kukata umeme. Kwa kukatika huku kwa muda mrefu bora tuzingatie solar mafuta yasitufirisi.
 
Hali ni tete, joto kali umeme hakuna,

Naomba kufahamu badget inayotosha kupata umeme wa solar ambao unaweza kuchukua majukumu yote ya TANESCO

1. Taa
2. Feni tatu na AC 1,
3. Fridge
4. TV mbili
5. Computer mbili za desktop
6. Oven ila haitumik mara nyingi

Yaweza ni cost kiasi gani?
Taja Kila taa na wattage zake, Ili akukadilie
 
Back
Top Bottom