Naomba kufahamu solar itakayoweza kuchukua nafasi ya TANESCO nyumbani

Naomba kufahamu solar itakayoweza kuchukua nafasi ya TANESCO nyumbani

Kuna muda Utafika,TANESCO atajiendesha kwa hasara akikosa wateja.
Mkuu huwa hawana hasara hata kukiwa hakuna mteja hata mmoja
Kumbuka zile ndege tunaambiwa faida kibao kumbe jamaa anachota huku anaweka huku mradi sifa tu
Huu umeme walisema mgao bye bye tangu 2010 miaka 12 baadae bado wanasema bye bye

Hawana jipya
 
Power Back up bora kwa sasa ni hii, hauhitaji Generator wala solar tena.

Unahitaji Batteries, Inverter na Cables tu

Hii setup inauwezo wa kukaa na umeme zaidi ya masaa 18 depends na vifaa ulivyonavyo
Maelezo yako unatoa nusu nusu ndio maana mswali mengi

Nahisi labda hauna uwelewa mkubwa kuhusu maswala ya umeme

Ila Kwa Mimi nilivyo elewa hapo hiyo system inafungwa katika nyumba yenye umeme wa Tanesco wakati umeme unawaka inakuwa inajichaji umeme ukikatika ndio unatumia hiyo backup Kwa zaidi ya masaa 18
 
Solar ya kutosha hivyo vyote inaweza kufika milioni 20 au hata zaidi na Hakuna guarantee ya life span yake kwani inaweza kukufia hata ndani ya miaka miwili

Nakushauri funga solar kwa ajili ya taa (ya laki 2 au 3 inatosha, mimi ninayo ya laki na nusu nawasha taa 4, nachaji smartphone pia powerbank ya simu).

Balbu nunua za 'LED', zina mwanga mkubwa sana huwezi amini, mimi nimefunga hizo kila mtu hudhani natumia solar ya mamilioni kumbe ni aina ya ya taa nilizofunga na ukiangalia kwa haraka unaweza kudhani natumia Umeme wa Tanesco kumbe ni aina ya Balbu

Halafu tafuta betri ya gari N 100 mbili na inverter utakuwa unazichaji Umeme ukirudi na utumie kwa TV na computer

Sahau mambo ya friji na AC kwa sasa

Namna nyingine ni kutafuta vifaa ambavyo ni maalumu kwa Umeme wa solar yaani ununue computer maalumu kwa ajili ya Umeme wa solar kadharika kwa TV, friji na AC

Au ununue generator

Siyo rahisi kuwatoa kabisa TANESCO nyumbani
 
Maelezo yako unatoa nusu nusu ndio maana mswali mengi

Nahisi labda hauna uwelewa mkubwa kuhusu maswala ya umeme

Ila Kwa Mimi nilielewa hapo hiyo system inafungwa katika nyumba yenye umeme wa Tanesco wakati umeme unawaka inakuwa inajichaji umeme ukikatika ndio unatumia hiyo backup Kwa zaidi ya masaa 18
Exactly kaka wacheki Hawa kwa msaada zaidi 0696224802
 
Yani inatakiwa Kila kifaa utaje na wattage zake , mfano
Bulb watt 15 Kila
Ac watt 200 hours 8 per day
Computer watt 200 hour to use 10 hours per day, ikishapata ivyo vitu unaweza pata vitu vinavyo hitajika
Kwani haiwezekani kukadilia tu kwa jumla ya kiasi cha umeme wa Tanesco unaoingia ndani kutoka kwenye mita, ili backup nayo ifungwe yenye uwezo wa kuzalisha kiasi sawa...!?
 
Maelezo yako unatoa nusu nusu ndio maana mswali mengi

Nahisi labda hauna uwelewa mkubwa kuhusu maswala ya umeme

Ila Kwa Mimi nilivyo elewa hapo hiyo system inafungwa katika nyumba yenye umeme wa Tanesco wakati umeme unawaka inakuwa inajichaji umeme ukikatika ndio unatumia hiyo backup Kwa zaidi ya masaa 18
Na bado haijajulikana itatosheleza kwa watts ngapi.. Mwingine kwa siku anatumia units 10 yaani kilowatts 10,000, mwingine unit 3 yani kilowatts 3000, sasa lazima tujue inaweza kupush mzigo gani!!? Mwenye AC 2, RICE COOKER, FREEZER, JIKO LA UMEME, hawezi kuwa sawa na mwenye feni 2 na taa tu.
 
Back
Top Bottom