Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Mpigie kwa maelezo na msaada zaidi 0696224802hii ndo nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpigie kwa maelezo na msaada zaidi 0696224802hii ndo nini
Hio ni back-up inatumika wakati umeme unapokatika, hapo kuna Inveter pamoja na batteries.Itolee maelezo mkuu.
Ungeandika AC 1 na oven ingetosha.Hali ni tete, joto kali umeme hakuna,
Naomba kufahamu badget inayotosha kupata umeme wa solar ambao unaweza kuchukua majukumu yote ya TANESCO
1. Taa
2. Feni tatu na AC 1,
3. Fridge
4. TV mbili
5. Computer mbili za desktop
6. Oven ila haitumik mara nyingi
Yaweza ni cost kiasi gani?
Asante,Hio ni back-up inatumika wakati umeme unapokatika, hapo kuna Inveter pamoja na batteries.
Umeme ukiwepo hizo batteries zinakua zinajichaji, umeme ukikatika ndio zinatumika kurudisha umeme kwa kushirikiana na Inveter ambayo kazi yake ni kuchange DC to AC Currents (DC ni huo umeme wa battery ambao haupigi shoti halafu AC ndio huu umeme wa tanesco unaotetemesha)
achana na solar kiongozi tafuta hii bajeti milioni 2 tu. Life yake miaka 10View attachment 2909682
Piga number hii kwa msaada zaidi 0696224802Hii kitu ni wewe unafanya au unaelewa vizuri? Kama ni hivyo ni uwekezaji mzuri.
Shida ni pale inapokya hata wewe kutokufaham taarifa na maelezo ya kina
Kama nimekupata vizuri, hapo hizo battery Zina chaji wakati umeme upo na ukikatika ndio zinafanya kazi.
Kwa hiyo 2M, utaunganisha vifaa vipi na vyenye uwezo upi na vitadumu Kwa huo umeme Kwa muda Gani?
Kama ni wewe unahudika au kujishughulisha na hii biashara, umasikini utapishana nao muda SI mrefu.
Ahsante.
Piga number hii kwa msaada zaidi 0696224802
Acha uongo wewe wakala wa Tanesco,akiwa na 5ml tatizo la umeme limekwisha.Solar ya kutosha hivyo vyote inaweza kufika milioni 20 au hata zaidi na Hakuna guarantee ya life span yake kwani inaweza kukufia hata ndani ya miaka miwili
Nakushauri funga solar kwa ajili ya taa (ya laki 2 au 3 inatosha, mimi ninayo ya laki na nusu nawasha taa 4, nachaji smartphone pia powerbank ya simu).
Balbu nunua za 'LED', zina mwanga mkubwa sana huwezi amini, mimi nimefunga hizo kila mtu hudhani natumia solar ya mamilioni kumbe ni aina ya ya taa nilizofunga na ukiangalia kwa haraka unaweza kudhani natumia Umeme wa Tanesco kumbe ni aina ya Balbu
Halafu tafuta betri ya gari N 100 mbili na inverter utakuwa unazichaji Umeme ukirudi na utumie kwa TV na computer
Sahau mambo ya friji na AC kwa sasa
Namna nyingine ni kutafuta vifaa ambavyo ni maalumu kwa Umeme wa solar yaani ununue computer maalumu kwa ajili ya Umeme wa solar kadharika kwa TV, friji na AC
Au ununue generator
Siyo rahisi kuwatoa kabisa TANESCO nyumbani
Mungu ni mwema, msaidie mdau tatizo liishe kwakeAcha uongo wewe wakala wa Tanesco,akiwa na 5ml tatizo la umeme limekwisha.
Huo muda unakuja wait and see yaan watu wakiona kitu kinasumbua lazima wakitafutie mbadala wake sasa TANESCO akae kwa kutulia watu wanabuni mifumo mingine isiyohusisha TANESCO unafunga unawasha umeme Safi malipo ni mara 1 tu baada ya hapo endelea kula maisha, ngoja niendelee kubuni mfumo wa kuendeshea mashine ya kusaga na kukoboa isiyotumia umeme wa TANESCOKuna muda Utafika,TANESCO atajiendesha kwa hasara akikosa wateja.
Sasa ulitaka ni mjibu jeWewe na majibu yako haya
Ajuza aisee mie sio mamako ambaye anajuta kukuzaa kwa kimtu hajielewi ila kina jiona kama dunia yake nenda kwanza ukarekebishe nyumba ya bi mkubwa ndio uje ukapigane namimi.Ajuza maua naomba ukae mbali na mimi, huna maarifa ya kujua nilichouliza.
Hapa hakuna madanga
Yeah unaweza kutokana na mzigo ambao mkandarasi aloyekusukia umeme alivyojaza katika fomu, inabidi awe alikadiria sahihi, hours of operation sio shida unaweza ukakadiria mwenyewe. 1.2kwKwani haiwezekani kukadilia tu kwa jumla ya kiasi cha umeme wa Tanesco unaoingia ndani kutoka kwenye mita, ili backup nayo ifungwe yenye uwezo wa kuzalisha kiasi sawa...!?
Ukweli ndio huo, asante!Matumizi yako at peak ni kama 4000W kwasababu ya AC
Ongeza 30% kwa ajili ya efficiency losses na uwe na extra power kuhandle starting current ya compressor ya AC, maana yake system yako iwe na panel za atleast 5500W
Minimum estimate ya PV panel ni TZS1100 per Watt. Hivyo minimum unahitaji 6M kwa ajili ya solar panels pekee za kuzalisha umeme wa DC 12/24V
Inverter - hii inabadili DC kuwa umeme wa vifaa vyako AC220V - andaa 1.5M
Unaweza anza na battery hata za 1M kwa ajili ya kustabilize voltage - sio kwamba system itafanya kazi usiku kwa battery hizo na load yako. Ukitaka mpaka usiku ifanye kazi bila AC unahitaji battery za almost 3M.
Wire, connector, charge controller weka 1M. Mounting bracket za PV sijaweka kwasababu inategemeana na location.
Kwahiyo unahitaji kuanzia 9.5M kwa system ya mchana tu mpka 11.5M kama unataka kutumia vifaa vyako except AC na oven mpaka usiku.
Solar sio cheap mkuu inarudisha hela kuanzia 10-15yrs gharama ambayo ungenunua LUKU