The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu hiyo 2M ni kununua hicho kifaa tu? vipi kuhusu running cost yake ikoje? ukitoa maelezo zaidi utamsaidia zaidi mleta mada akuelewe vizuri.achana na solar kiongozi tafuta hii bajeti milioni 2 tu. Life yake miaka 10View attachment 2909682
Ni pamoja na Kila kitu mzee kwa milioni 2 hiyoMkuu hiyo 2M ni kununua hicho kifaa tu? vipi kuhusu running cost yake ikoje? ukitoa maelezo zaidi utamsaidia zaidi mleta mada akuelewe vizuri.
Hapo cha kwanza, nikujua unatumia umeme kiasi gani kwa siku.Hali ni tete, joto kali umeme hakuna,
Naomba kufahamu badget inayotosha kupata umeme wa solar ambao unaweza kuchukua majukumu yote ya TANESCO
1. Taa
2. Feni tatu na AC 1,
3. Fridge
4. TV mbili
5. Computer mbili za desktop
6. Oven ila haitumik mara nyingi
Yaweza ni cost kiasi gani?
ufafanuzi mkuu?achana na solar kiongozi tafuta hii bajeti milioni 2 tu. Life yake miaka 10View attachment 2909682
Hii ni nini na ufanyaji kaze wake ukoje? Hujaweka maelezo ya kutoshaachana na solar kiongozi tafuta hii bajeti milioni 2 tu. Life yake miaka 10View attachment 2909682
Wewe na majibu yako hayaNenda google
Mkuu hebu tuma hata picha ya hiyo sola ya mil 4, duh kama ina nguvu hivo basi ni mbadala wa TANESCONdio mkuu hapo unawasha mpaka heater
Taja Kila taa na wattage zake, Ili akukadilieHali ni tete, joto kali umeme hakuna,
Naomba kufahamu badget inayotosha kupata umeme wa solar ambao unaweza kuchukua majukumu yote ya TANESCO
1. Taa
2. Feni tatu na AC 1,
3. Fridge
4. TV mbili
5. Computer mbili za desktop
6. Oven ila haitumik mara nyingi
Yaweza ni cost kiasi gani?
Battery 4 hizo umeziona hapo ukipata 8 tu TANESCO utawasikia kwenye bomba na umeme wao wa mauzauzaachana na solar kiongozi tafuta hii bajeti milioni 2 tu. Life yake miaka 10View attachment 2909682
Hii system inaitwaje, yenyewe haitumii solar?achana na solar kiongozi tafuta hii bajeti milioni 2 tu. Life yake miaka 10View attachment 2909682
Weka kapicha, inaweza kuwasha AC tatu na fridge?nunua hii
Grid Hybrid Solar Inverter 4KW 24V 6KW 48V MPPT 120A Grid Tie Solar Inverter Max PV 500V 6200W 6500W 2 Load Power Outputs
Yani inatakiwa Kila kifaa utaje na wattage zake , mfanoJumla ya taa ni watts 15 mana nyingi ni hizi la watt 5
Power Back up bora kwa sasa ni hii, hauhitaji Generator wala solar tena.Hii system inaitwaje, yenyewe haitumii solar?
Power Back up bora kwa sasa ni hii, hauhitaji Generator wala solar tena.Hii ni nini na ufanyaji kaze wake ukoje? Hujaweka maelezo ya kutosha
Nimeelezea hapo post no 38Hii ni nini?