Ni kweli, mimi niliishi Bunda na SDA, wakishapika chakula cha jioini, jiko linanuna mpaka jioini ya j.mosi.Wabongo wape kichwa cha habari. Stori watatengeneza wenyewe.
Binafsi nilisikia mengi sana kuhusu wasabato. Ila siku niliyoenda kusali kwao. Nikajua kwamba niliyoyasikia nje mengi sio ya kweli. Ni chumvi tu za watu.
Mfano wewe mtu mzima kabisa akili yako inaamini SDA huwa hawapiki jumamosi wala kuosha vyombo ?
Watoto wanakula vipolo visivyochemshwa. Amini amini nakwambia, sabato wanakula viporo.