Naomba kujua bei ya bima ya afya NHIF kwa familia, na kwa mtu mmoja

Marathon day

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
643
Reaction score
1,016
Ndg wahusika naomba sasa wahusika watoke watupe mrejesho bei mpya za bima ya afya kwa familia na kwa kwa mtu mmoja, ili kuhamasisha watu wengi zaidi kupata bima ya afya
 
inategemea pia umri wa mhusika nadhani
Kwa wazee bei yao tofauti kabisa na wengine kwa sababu ya magonjwa yanayowanyemelea kutokana na umri wao

Ila nenda ofisini kwa maelezo zaidi
 
Kama upo over fifty tayarisha 975000 kwa mwaka.
Nimelipa nikaenda JKCI nikaanza na full vipimo na dawa siku ya kwanza kwa gharama ya 685000- na bado Nina miezi mingine kumi.
 
Magonjwa yasiyoambukiza ni hatari,heri na ngoma
 
Ndg wahusika naomba sasa wahusika watoke watupe mrejesho bei mpya za bima ya afya kwa familia na kwa kwa mtu mmoja, ili kuhamasisha watu wengi zaidi kupata bima ya afya
Achana na hao wahuni, nenda AAR nk ni wastaarabu sana!
 
Kama upo over fifty tayarisha 975000 kwa mwaka.
Nimelipa nikaenda JKCI nikaanza na full vipimo na dawa siku ya kwanza kwa gharama ya 685000- na bado Nina miezi mingine kumi.
Samahani mkuu nahitaji kumnunulia bima mzee wangu yuko above 70 years na anasumbuliwa na magonjwa ya uzeeni ya presha na mambo ya uzazi(kibofu).
Je nikilipia hiyo 975000 bima nitakayopewa itasaidia kupata huduma zote bila kuongezeka gharama nyingine?
Ofisi yao iko wapi nikihitaji kufanya maombi?
 
Back
Top Bottom