Mbongo4life
Senior Member
- Nov 1, 2021
- 132
- 270
Hivi utazijuaje local na bs?Mwezi uliopita nimenunua 2.6M per tonne BS na 2.4M per tonne Local. Hizi ni bei za Arusha pale Bulk. Kwa dsm itakuwa chini kidogo.
Thank you sirHivi utazijuaje local na bs?
Thank you MadamThank you sir
Huwa zinaandikwa mkuu, strength yake huwa ni 500 wakati za local huwa ni 300 au 350. Hata bei tu zinautofauti karibu robo ya bei.Hivi utazijuaje local na bs?
mmmh hapa tupate elimu kidogo aseeee huenda huku tunapigwa na local kwa bei ya bsHuwa zinaandikwa mkuu, strength yake huwa ni 500 wakati za local huwa ni 300 au 350. Hata bei tu zinautofauti karibu robo ya bei.
Tani moja 2,250,000Waungwana naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana. Natanguliza shukrani.
Ndugu zangu naomba msaada wa kujua bei za jumla za nondo Dar
Copy hizi BS ni za nchi gani?Mwezi uliopita nimenunua 2.6M per tonne BS na 2.4M per tonne Local. Hizi ni bei za Arusha pale Bulk. Kwa dsm itakuwa chini kidogo.
kizibo1 hizi ni BS au local?Tani moja 2,250,000
Shukran sana mkuu kwa jibu je nondo hizi ni nzuri (zina ubora) kwa ujenzi wa nyumba ghorofa moja au ni vizuri tu kutumia nondo za nje ya nchi?BS nyingi zinatoka nje. Ingawa vipo viwanda vya ndani vinazalisha BS. Mfano Kamal pale bagamoyo na aim steel pale Mbezi beach.
Nyumba ya ghorofa moja inategemea ni eneo lipi. Hata hivyo kama unafuatisha mchoro wa structural local zinatosha.Shukran sana mkuu kwa jibu je nondo hizi ni nzuri (zina ubora) kwa ujenzi wa nyumba ghorofa moja au ni vizuri tu kutumia nondo za nje ya nchi?
Ukishasema nondo tu tayari inakua imeeleweka kinachohitajika?Waungwana naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana. Natanguliza shukrani.
Ndugu zangu naomba msaada wa kujua bei za jumla za nondo Dar
Nadhani huwa zinauzwa kama misumari, bei ya misumari kwa Kg ni tsh 4000 haijalishi ni misumari ya nchi ngapi. Ukinunua kg 1 ya misumari ya nchi 3 utapata misumari mingi tofauti na ukinunua Kg 1 ya misumari ya nchi 4 lakini uzito ni ule uleUkishasema nindo tu tayari inakua imeeleweka kinachohitajika?
Nondo hazina grades wala vipimo tofauti?
kwa kuelewa zaidi roughly nyumba ya ghorofa moja ya kawaida inaweza tumia tone ngapi za nondo kwa makisio!Shukran sana mkuu kwa jibu je nondo hizi ni nzuri (zina ubora) kwa ujenzi wa nyumba ghorofa moja au ni vizuri tu kutumia nondo za nje ya nchi?
Itategemea sasa na ramani yenyewe jinsi ilivyo, lazima uwe na michoro ya nondo ili mtaalam akuandalie bar bending schedule (hii ni document ambayo inaonesha mikunjo ya nondo,idadi, urefu n.k) kiujumla hiyo ndio itamuongoza mfunga chuma (steel fixer) kufanya kazi kwa usahihi na kwa uharaka zaidikwa kuelewa zaidi roughly nyumba ya ghorofa moja ya kawaida inaweza tumia tone ngapi za nondo kwa makisio!