GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 5, 2024 #1 Haya wale Machawa wake Gegedo mlioko hapa JamiiForums njooni mnijibu ili nami nikaombe msaada kwani Nimeibiwa Mbuzi wangu kutokea Zizini Kwangu hapa Tanzania Bara na Mwizi kasepa / kaenda nao kwenda Paje Kizimkazi Zanzibar ili akawauze kwa Waarabu.
Haya wale Machawa wake Gegedo mlioko hapa JamiiForums njooni mnijibu ili nami nikaombe msaada kwani Nimeibiwa Mbuzi wangu kutokea Zizini Kwangu hapa Tanzania Bara na Mwizi kasepa / kaenda nao kwenda Paje Kizimkazi Zanzibar ili akawauze kwa Waarabu.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Aug 5, 2024 #2 Muda utaongea Cc Smart911
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Aug 5, 2024 #3 Kuanza compaign kabla ya muda ni Ishara ya kutokukubalika na Ishara HOFU ya kushindwa? Kama KAZI zinaongea, kampeni za mapema za KAZI Gani? KAZI aliyopewa itakamilika Kweli Kwa Utaratibu huu? Nani wa kumfunga paka kengele?
Kuanza compaign kabla ya muda ni Ishara ya kutokukubalika na Ishara HOFU ya kushindwa? Kama KAZI zinaongea, kampeni za mapema za KAZI Gani? KAZI aliyopewa itakamilika Kweli Kwa Utaratibu huu? Nani wa kumfunga paka kengele?
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Aug 5, 2024 #4 Ameanza Campaign Kabla Ya Muda Ila Hawa Huwasikii Kusema Lolote MSAJIRI Wa Vyama NEC
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 5, 2024 Thread starter #5 Rabbon said: Kuanza compaign kabla ya muda ni Ishara ya kutokukubalika na Ishara HOFU ya kushindwa? Kama KAZI zinaongea, kampeni za mapema za KAZI Gani? KAZI itakamilika Kweli Kwa Utaratibu huu? Nani wa kumfunga paka kengele? Click to expand... Utakuwa na IQ kubwa sana Wewe Mkuu. Heko.
Rabbon said: Kuanza compaign kabla ya muda ni Ishara ya kutokukubalika na Ishara HOFU ya kushindwa? Kama KAZI zinaongea, kampeni za mapema za KAZI Gani? KAZI itakamilika Kweli Kwa Utaratibu huu? Nani wa kumfunga paka kengele? Click to expand... Utakuwa na IQ kubwa sana Wewe Mkuu. Heko.