Naomba kujua kati ya kununua gari hapa Tanzania na kuagiza kutoka nje ni njia ipi bora?

Naomba kujua kati ya kununua gari hapa Tanzania na kuagiza kutoka nje ni njia ipi bora?

JipuKubwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
2,341
Reaction score
2,390
Wanabodi habari,

Kwa heshima zote naomba kujua ipi ni njia nafuu ya kupata gari bora kati ya kununua hapa bongo au kuagiza nje ya nchi maana natarijia kununua gari hivi karibuni.

Naomba ufafanuzi tafadhali.
 
Kuagiza Faida:

1. Machaguo mengi.
2. Inakuja na hali nzuri.
3. Unasajili kwa jina lako.
4. Kuna ka harufu flani hivi unakapata.
5. Wenzetu kama gari lina ugonjwa wanakuambia.

Faida kununua Bongo:

1. Una test drive.
2. Hausuhirii miezi 2 kupata gari, leo unatoa hela leo unaendesha
 
Wanabodi habari,kwa heshima zote naomba kujua ipi ni njia nafuu ya kupata gari bora kati ya kununua hapa bongo au kuagiza nje ya nchi maana natarijia kununua gari hivi karibuni.Naomba ufafanuzi tafadhali.
Mkuu tembelea beforward website chagua gari unayopenda ,log in na anza majadiliano ya bei na mambo mengine, ukimaliza kukubalina bei nenda beforward Dar wakupe account yao lipia halafu mambo mengine watabaki wanafanya wenyewe.

Kuhusu ubora na unafuu wa bei upo. Andaa kodi za serekali, usiogope kusubili miezi 2 kupata kilichobora
 
Mkuu tembelea beforward website chagua gari unayopenda ,log in na anza majadiliano ya bei na mambo mengine, ukimaliza kukubalina bei nenda beforward Dar wakupe account yao lipia halafu mambo mengine watabaki wanafanya wenyewe. Kuhusu ubora na unafuu wa bei upo. Andaa kodi za serekali, usiogope kusubili miezi 2 kupata kilichobora
Asante sana kiongozi.
 
Kwa ushauri wangu agiza kutoka nje. Kwa Bongo kwa uzoefu wangu, hakuna au labda niseme ni mara chache sana, mtu kuuza gari yake ikiwa haina tatizo. Mara nyingi nimeshuhudia mtu anauza gari kwa sababu ina shida flani. Labda ubahatishe sana mtu anauza gari kwa sababu anabadilisha au ana shida flani.
Kwa hali ya kawaida agaiza
 
Wanabodi habari,kwa heshima zote naomba kujua ipi ni njia nafuu ya kupata gari bora kati ya kununua hapa bongo au kuagiza nje ya nchi maana natarijia kununua gari hivi karibuni.Naomba ufafanuzi tafadhali.
Naomba nikuulize swali hili kabla ya kukupa majibu.

Je, Unaweza kununua maziwa kwa mchuuzi wa kawaida anaepitisha ilhari unajua wapi yanapokamuliwa na kuuzwa?
 
Mkuu tembelea beforward website chagua gari unayopenda ,log in na anza majadiliano ya bei na mambo mengine, ukimaliza kukubalina bei nenda beforward Dar wakupe account yao lipia halafu mambo mengine watabaki wanafanya wenyewe. Kuhusu ubora na unafuu wa bei upo. Andaa kodi za serekali, usiogope kusubili miezi 2 kupata kilichobora
Mkuu nielimishe kuhusu kodi ya bandarini. Inapotokea CIF ya Japan ni kubwa kuliko makadirio ya TRA unakokotoa upya au inakua faida unalipa hiyohiyo??
 
Back
Top Bottom