Hajawahi kutumia miwani mkuu na hapendi anasema inamuumiza hajazoeaMtoto wa jicho (cataract) gharama zake hata laki mbili hazifiki kwa macho mawili. Ni operation ndogo sana hiyo mgonjwa na ni outpatient (mnarudi kulala nyumbank).
Swali; Kama alikuwa haoni mbali (myopia), mlitumia matibabu gani? Miwani au operesheni?
Maana mtu ambaye haoni mbali, huwa mara nyingi anapata cataract (mtoto wa jicho), kama asipovaa miwani ya kurekebisha lenzi.
Hajawahi kutumia miwani mkuu na hapendi anasema inamuumiza hajazoea
Sasa kama hajawahi kutumia miwani kajuaje inamuumiza?Hajawahi kutumia miwani mkuu na hapendi anasema inamuumiza hajazoea
Kwani kuna operation ya myopia? Mimi sioni mbali na natumia miwani. Lakini bado kuona mbali kama mwenye macho ya kawaida tatizo. Natumia lensi -5 wanasema nikaongeze lensi, ni kweli? Haitasababisha shida zaidi?Mtoto wa jicho (cataract) gharama zake hata laki mbili hazifiki kwa macho mawili. Ni operation ndogo sana hiyo mgonjwa na ni outpatient (mnarudi kulala nyumbank).
Swali; Kama alikuwa haoni mbali (myopia), mlitumia matibabu gani? Miwani au operesheni?
Maana mtu ambaye haoni mbali, huwa mara nyingi anapata cataract (mtoto wa jicho), kama asipovaa miwani ya kurekebisha lenzi.
Ushauri; hata akifanyiwa operesheni ya mtoto wa jicho asiache kuvaa miwani. Miwani ni dawa kwa myopia na ni kinga ya mtoto wa jicho pia.
Kwani kuna operation ya myopia? Mimi sioni mbali na natumia miwani. Lakini bado kuona mbali kama mwenye macho ya kawaida tatizo. Natumia lensi -5 wanasema nikaongeze lensi, ni kweli? Haitasababisha shida zaidi?
So kuongeza lensi haina madhara?Operation ya myopia ipo, unawekewa artificial lens. The best option ni miwani au contact lens, sababu operations zina risk zake. Kama bado lens zako zinaweza tibika (corrected) kwa miwani, miwani ni bora zaidi.
Kuhusu ishu yako: Sio mbaya kuongeza miwani, ukitoa miwani bado unaonana blurred?
Maana inatakiwa uwe una boreka uoni kutokana na miwani husika.
So kuongeza lensi haina madhara?