Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Walimu kibao ni ma Das, Ma DED, ma DC, ma RC n.k1. DAS wa wilaya anateukiwa na Mh Rais.
2. Je anapofanya mabadiliko DAS akaachwa anapangiwa kazi ingine?
3. Kama alikuwa public servant atarejea kwenye kazi yake?
4. Na kama hakuwa mtumishi wa umma atapotezewa na maisha yaendelee?
5. Na kwanini hakuna teuzi zinazowachukua walimu?
Meru tangu lini nikaishi Meru mieWalimu kibao ni ma Das, Ma DED, ma DC, ma RC n.k
Hata huyo DED wako Meru DC si ni mwalimu au ulitakaje?
Kama ni mwalimu akafundisheWalimu kibao ni ma Das, Ma DED, ma DC, ma RC n.k
Hata huyo DED wako Meru DC si ni mwalimu au ulitakaje?
1.Das-Katibu Tawala Wilaya ni Mtendaji Mkuu katika Wilaya ni nafasi ya kiutendaji sio kisiasa-huteuliwa na Katibu Mkuu Utumishi na sio Rais1. DAS wa wilaya anateukiwa na Mh Rais.
2. Je anapofanya mabadiliko DAS akaachwa anapangiwa kazi ingine?
3. Kama alikuwa public servant atarejea kwenye kazi yake?
4. Na kama hakuwa mtumishi wa umma atapotezewa na maisha yaendelee?
5. Na kwanini hakuna teuzi zinazowachukua walimu?
Mkuu wa Wilaya ni nafasi ya kisiasa na sio kiutendaji, Wakuu wengi wa Wilaya wanapata nafasi hizo kwa kuwa kwenye jamii tunazoishi Wafanyakazi wengi ni waalimu-kwa hiyo na huko CCM napo wapo wengi .Hivyo ikitokea hizo teuzi lazima watakuwa wengi.Mbona wakuu wengi wa wilaya ni walimu? Na mara nyingi ma ded hukaimu nafasi ya deo asipokuwepo
We si mwalimu huko Arumeru?Meru tangu lini nikaishi Meru mie
Hapo nimekupata.1.Das-Katibu Tawala Wilaya ni Mtendaji Mkuu katika Wilaya ni nafasi ya kiutendaji sio kisiasa-huteuliwa na Katibu Mkuu Utumishi na sio Rais
2.Kunapofanyika mabadiliko ukaachwa hupangiwi kazi nyingine bali unarudi katika cheo chako cha wali kabla ya kupata teuzi hiyo.Kama ulikuwa Afisa Tawala Mwandamizi basi utarudi kwenye cheo chako cha Muundo.
3. DAS ni laazima awe public servant na sio vinginevyo-MAGUFULI alikwenda against kanunzi za Utumishi wa Umma na kuteua MADAS pasipo kufuata sheria za utumishi wa Umma na Katiba,hivyo ni lazima atarejea kwenye kazi yake ya awali baada ya kutenguliwa.
4.Hakuwahi kutokea DAS akawa sio Mtumishi wa Umma kabla ya Magufuli,kwa kuwa Marais wote waliotanguli waliiendesha Nchi kiutawala kwa kufuata Sheria na Kanuni-hawa alioteuliwa na Magufuli kama hukuwa mtumishi wariludi uraiani.
5. ukifuata miongozo iliyopo sio rahisi Mwalimu kupata uteuzi wa Kuwa DED au DAS kutokana na kuwa DED lazima uwe miongoni wa Wakuu wa Idara. Hivyo basi kanuni za uteuzi zilizopo zinawabeba Wachumi/Maafisa Mipango kuwa Wakurugenzi/DED na Maafisa Tawala/Utumishi kuwa MADAS- hii ilitokana na kuwa Ma-DED wanasimamia maendeleo ya Halmashauri (Bajeti & MIpango) na Ma-Das wanasimamia Utawala ndani ya Wilaya
Usifananishe watuWe si mwalimu huko Arumeru?
Vice versaMbona wakuu wengi wa wilaya ni walimu? Na mara nyingi ma ded hukaimu nafasi ya deo asipokuwepo
Sio kweli kwamba mwalimu anaweza kushika kazi yoyote nchini. Mwalimu hawezi kuwa daktari,mwanasheria,Polisi au mwanajeshi na kazi nyingi nyinginezo! Mwalimu anabakia kwenye taaluma yake isipokuwa kazi kama DC ipo kinamna tofauti na DAS ambaye ndiye mtawala na muajili mkuu kwa ngazi ya wilayaKwa Tanzania mwalimu aweza kushika nafasi yoyote kuanzia Uraisi hadi Balozi wa nyumba kumi kumi.
Sisi kinachotushangaza ni uuzwaji wa bandari zote kwa DP world. CCM inawauzwa raia wake
Hizo nafasi zote ulizotaja mwalimu huzipitia huko shuleni. Kule shuleni Kuna kipindi Mwalimu huwa ni daktari, polisi, mwanasheria au mwanajeshi kukabiliana na wavuta bange. Kumbuka magufuli alikuwa teacher, kikwete alikuwa teacher pale monduli, Nyerere alikuwa teacher Tabora nk.Sio kweli kwamba mwalimu anaweza kushika kazi yoyote nchini. Mwalimu hawezi kuwa daktari,mwanasheria,Polisi au mwanajeshi na kazi nyingi nyinginezo! Mwalimu anabakia kwenye taaluma yake isipokuwa kazi kama DC ipo kinamna tofauti na DAS ambaye ndiye mtawala na muajili mkuu kwa ngazi ya wilaya
Nakujua fika. Pole mwalimu pambana.Usifananishe watu
Kuna DED mmoja yupo alikuwa Afisa elimu kata mpaka Leo ni ded1.Das-Katibu Tawala Wilaya ni Mtendaji Mkuu katika Wilaya ni nafasi ya kiutendaji sio kisiasa-huteuliwa na Katibu Mkuu Utumishi na sio Rais
2.Kunapofanyika mabadiliko ukaachwa hupangiwi kazi nyingine bali unarudi katika cheo chako cha wali kabla ya kupata teuzi hiyo.Kama ulikuwa Afisa Tawala Mwandamizi basi utarudi kwenye cheo chako cha Muundo.
3. DAS ni laazima awe public servant na sio vinginevyo-MAGUFULI alikwenda against kanunzi za Utumishi wa Umma na kuteua MADAS pasipo kufuata sheria za utumishi wa Umma na Katiba,hivyo ni lazima atarejea kwenye kazi yake ya awali baada ya kutenguliwa.
4.Hakuwahi kutokea DAS akawa sio Mtumishi wa Umma kabla ya Magufuli,kwa kuwa Marais wote waliotanguli waliiendesha Nchi kiutawala kwa kufuata Sheria na Kanuni-hawa alioteuliwa na Magufuli kama hukuwa mtumishi wariludi uraiani.
5. ukifuata miongozo iliyopo sio rahisi Mwalimu kupata uteuzi wa Kuwa DED au DAS kutokana na kuwa DED lazima uwe miongoni wa Wakuu wa Idara. Hivyo basi kanuni za uteuzi zilizopo zinawabeba Wachumi/Maafisa Mipango kuwa Wakurugenzi/DED na Maafisa Tawala/Utumishi kuwa MADAS- hii ilitokana na kuwa Ma-DED wanasimamia maendeleo ya Halmashauri (Bajeti & MIpango) na Ma-Das wanasimamia Utawala ndani ya Wilaya
Kwahiyo mkuu wa idaraa ya elimu DEO hawezi kuwa DED ? Make nae ni mwlm1.Das-Katibu Tawala Wilaya ni Mtendaji Mkuu katika Wilaya ni nafasi ya kiutendaji sio kisiasa-huteuliwa na Katibu Mkuu Utumishi na sio Rais