Naomba kujua kuhusu teuzi

Naomba kujua kuhusu teuzi

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
1. DAS wa wilaya anateukiwa na Mh Rais.

2. Je anapofanya mabadiliko DAS akaachwa anapangiwa kazi ingine?

3. Kama alikuwa public servant atarejea kwenye kazi yake?

4. Na kama hakuwa mtumishi wa umma atapotezewa na maisha yaendelee?

5. Na kwanini hakuna teuzi zinazowachukua walimu?
 
Walimu kibao ni ma Das, Ma DED, ma DC, ma RC n.k

Hata huyo DED wako Meru DC si ni mwalimu au ulitakaje?
 
Kwa Tanzania mwalimu aweza kushika nafasi yoyote kuanzia Uraisi hadi Balozi wa nyumba kumi kumi.
Sisi kinachotushangaza ni uuzwaji wa bandari zote kwa DP world. CCM inawauzwa raia wake
 
Mbona wakuu wengi wa wilaya ni walimu? Na mara nyingi ma ded hukaimu nafasi ya deo asipokuwepo
 
1. DAS wa wilaya anateukiwa na Mh Rais.

2. Je anapofanya mabadiliko DAS akaachwa anapangiwa kazi ingine?

3. Kama alikuwa public servant atarejea kwenye kazi yake?

4. Na kama hakuwa mtumishi wa umma atapotezewa na maisha yaendelee?

5. Na kwanini hakuna teuzi zinazowachukua walimu?
1.Das-Katibu Tawala Wilaya ni Mtendaji Mkuu katika Wilaya ni nafasi ya kiutendaji sio kisiasa-huteuliwa na Katibu Mkuu Utumishi na sio Rais
2.Kunapofanyika mabadiliko ukaachwa hupangiwi kazi nyingine bali unarudi katika cheo chako cha wali kabla ya kupata teuzi hiyo.Kama ulikuwa Afisa Tawala Mwandamizi basi utarudi kwenye cheo chako cha Muundo.
3. DAS ni laazima awe public servant na sio vinginevyo-MAGUFULI alikwenda against kanunzi za Utumishi wa Umma na kuteua MADAS pasipo kufuata sheria za utumishi wa Umma na Katiba,hivyo ni lazima atarejea kwenye kazi yake ya awali baada ya kutenguliwa.
4.Hakuwahi kutokea DAS akawa sio Mtumishi wa Umma kabla ya Magufuli,kwa kuwa Marais wote waliotanguli waliiendesha Nchi kiutawala kwa kufuata Sheria na Kanuni-hawa alioteuliwa na Magufuli kama hukuwa mtumishi wariludi uraiani.
5. ukifuata miongozo iliyopo sio rahisi Mwalimu kupata uteuzi wa Kuwa DED au DAS kutokana na kuwa DED lazima uwe miongoni wa Wakuu wa Idara. Hivyo basi kanuni za uteuzi zilizopo zinawabeba Wachumi/Maafisa Mipango kuwa Wakurugenzi/DED na Maafisa Tawala/Utumishi kuwa MADAS- hii ilitokana na kuwa Ma-DED wanasimamia maendeleo ya Halmashauri (Bajeti & MIpango) na Ma-Das wanasimamia Utawala ndani ya Wilaya
 
Mbona wakuu wengi wa wilaya ni walimu? Na mara nyingi ma ded hukaimu nafasi ya deo asipokuwepo
Mkuu wa Wilaya ni nafasi ya kisiasa na sio kiutendaji, Wakuu wengi wa Wilaya wanapata nafasi hizo kwa kuwa kwenye jamii tunazoishi Wafanyakazi wengi ni waalimu-kwa hiyo na huko CCM napo wapo wengi .Hivyo ikitokea hizo teuzi lazima watakuwa wengi.
 
1.Das-Katibu Tawala Wilaya ni Mtendaji Mkuu katika Wilaya ni nafasi ya kiutendaji sio kisiasa-huteuliwa na Katibu Mkuu Utumishi na sio Rais
2.Kunapofanyika mabadiliko ukaachwa hupangiwi kazi nyingine bali unarudi katika cheo chako cha wali kabla ya kupata teuzi hiyo.Kama ulikuwa Afisa Tawala Mwandamizi basi utarudi kwenye cheo chako cha Muundo.
3. DAS ni laazima awe public servant na sio vinginevyo-MAGUFULI alikwenda against kanunzi za Utumishi wa Umma na kuteua MADAS pasipo kufuata sheria za utumishi wa Umma na Katiba,hivyo ni lazima atarejea kwenye kazi yake ya awali baada ya kutenguliwa.
4.Hakuwahi kutokea DAS akawa sio Mtumishi wa Umma kabla ya Magufuli,kwa kuwa Marais wote waliotanguli waliiendesha Nchi kiutawala kwa kufuata Sheria na Kanuni-hawa alioteuliwa na Magufuli kama hukuwa mtumishi wariludi uraiani.
5. ukifuata miongozo iliyopo sio rahisi Mwalimu kupata uteuzi wa Kuwa DED au DAS kutokana na kuwa DED lazima uwe miongoni wa Wakuu wa Idara. Hivyo basi kanuni za uteuzi zilizopo zinawabeba Wachumi/Maafisa Mipango kuwa Wakurugenzi/DED na Maafisa Tawala/Utumishi kuwa MADAS- hii ilitokana na kuwa Ma-DED wanasimamia maendeleo ya Halmashauri (Bajeti & MIpango) na Ma-Das wanasimamia Utawala ndani ya Wilaya
Hapo nimekupata.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
kuna siku Rais atateua Wakuu wa Idara kwny Halmashauri
 
Kwa Tanzania mwalimu aweza kushika nafasi yoyote kuanzia Uraisi hadi Balozi wa nyumba kumi kumi.
Sisi kinachotushangaza ni uuzwaji wa bandari zote kwa DP world. CCM inawauzwa raia wake
Sio kweli kwamba mwalimu anaweza kushika kazi yoyote nchini. Mwalimu hawezi kuwa daktari,mwanasheria,Polisi au mwanajeshi na kazi nyingi nyinginezo! Mwalimu anabakia kwenye taaluma yake isipokuwa kazi kama DC ipo kinamna tofauti na DAS ambaye ndiye mtawala na muajili mkuu kwa ngazi ya wilaya
 
Hizo nafasi zote ulizotaja mwalimu huzipitia huko shuleni. Kule shuleni Kuna kipindi Mwalimu huwa ni daktari, polisi, mwanasheria au mwanajeshi kukabiliana na wavuta bange. Kumbuka magufuli alikuwa teacher, kikwete alikuwa teacher pale monduli, Nyerere alikuwa teacher Tabora nk.
 
1.Das-Katibu Tawala Wilaya ni Mtendaji Mkuu katika Wilaya ni nafasi ya kiutendaji sio kisiasa-huteuliwa na Katibu Mkuu Utumishi na sio Rais
2.Kunapofanyika mabadiliko ukaachwa hupangiwi kazi nyingine bali unarudi katika cheo chako cha wali kabla ya kupata teuzi hiyo.Kama ulikuwa Afisa Tawala Mwandamizi basi utarudi kwenye cheo chako cha Muundo.
3. DAS ni laazima awe public servant na sio vinginevyo-MAGUFULI alikwenda against kanunzi za Utumishi wa Umma na kuteua MADAS pasipo kufuata sheria za utumishi wa Umma na Katiba,hivyo ni lazima atarejea kwenye kazi yake ya awali baada ya kutenguliwa.
4.Hakuwahi kutokea DAS akawa sio Mtumishi wa Umma kabla ya Magufuli,kwa kuwa Marais wote waliotanguli waliiendesha Nchi kiutawala kwa kufuata Sheria na Kanuni-hawa alioteuliwa na Magufuli kama hukuwa mtumishi wariludi uraiani.
5. ukifuata miongozo iliyopo sio rahisi Mwalimu kupata uteuzi wa Kuwa DED au DAS kutokana na kuwa DED lazima uwe miongoni wa Wakuu wa Idara. Hivyo basi kanuni za uteuzi zilizopo zinawabeba Wachumi/Maafisa Mipango kuwa Wakurugenzi/DED na Maafisa Tawala/Utumishi kuwa MADAS- hii ilitokana na kuwa Ma-DED wanasimamia maendeleo ya Halmashauri (Bajeti & MIpango) na Ma-Das wanasimamia Utawala ndani ya Wilaya
Kuna DED mmoja yupo alikuwa Afisa elimu kata mpaka Leo ni ded
 
Kwahiyo mkuu wa idaraa ya elimu DEO hawezi kuwa DED ? Make nae ni mwlm
 
Kwa utaratibu DED anatakiwa kutokana na wakuu wa Idara ingawa siasa zinatumika vibaya kuwapachika watu ambao sio senior Officers mwisho wa siku anaona anadharauliwa na Wakuu wa Idara kutokana na kutojua mambo mengi ya kiuongozi
 
Back
Top Bottom