Naomba kujua kwanini Members wengine hapa wana Followers wengi na Wengine pamoja na Kujitutumua Kwetu JF bado hatuna hata Mmoja tu?

Naomba kujua kwanini Members wengine hapa wana Followers wengi na Wengine pamoja na Kujitutumua Kwetu JF bado hatuna hata Mmoja tu?

Kwa mfano binafsi sina hata follower mmoja hapa jamiiforums kama ilivyo kwa wenye wivu, chuki na roho mbaya wenzangu @Dabil na @Charles kilian
Hao wenzako sio wavivu wa ku like comments za wengine, yaani hata wakitukanwa wao humwaga like tu.

Jitahidi usiwe mchoyo wa ku like comments kwa kila mada utapata followers wa kumwaga.
 
Ukumbuke huu ni mtandao kama ilivyo mitandao mingine na hakuna ulazima wa mtu kukufollow kama hajapenda huwezi mlazimisha cha msingi chukua yalio mazuri mambo ya followers kama huna ni huna tu na watu wanaangalia unaandika nini usijilinganishe na mshana ni kitu ingine wala usijilinganishe na genta yule ni karismatiki fela intateina gemu chenja sasa ww ni nani?
 
Back
Top Bottom