Naomba kujua kwanini Members wengine hapa wana Followers wengi na Wengine pamoja na Kujitutumua Kwetu JF bado hatuna hata Mmoja tu?

Naomba kujua kwanini Members wengine hapa wana Followers wengi na Wengine pamoja na Kujitutumua Kwetu JF bado hatuna hata Mmoja tu?

Hata sielewi mambo za followers walai 😊
Hapa nataka niwapitie wote afu niwaulize why wamenifolo? Ntakayeguswa na jibu lake ntampa vocha ya buku 10 😂😂😂😂

Kumbe kuna watu wamenifolo na mwenyewe sijui 🤣🤣🤣
 
Kwa mfano binafsi sina hata follower mmoja hapa jamiiforums kama ilivyo kwa wenye wivu, chuki na roho mbaya wenzangu Dabil na Charles kilian ila nimetoka kufunya Uchunguzi wangu wa kimya kimya na kugundua members Kama Mshana Jr na yule Genta ( GENTAMYCINE ) na wengineo baadhi wana utajiri mkubwa wa followers hapa

Je, kunamaanisha nini members kadhaa kuwa na followers wengi tofauti na wengine hapa jamiiforums wakati kama ni kuwepo kuchangia mada mbalimbali kila siku huwa tunakuwa wote?

Na je, ni kwanini kwa mfano mimi Cognizant na wenye wivu, chuki na roho mbaya wenzangu akina Dabil na Charles kilian dhidi ya member kama GENTAMYCINE hatuna hata follower mmoja tu? tunafeli wapi labda?

Binafsi nikiona sipati follower hata mmoja tu hapa jamiiforums sitoona aibu kumuomba mmoja wa members wenye followers wengi GENTAMYCINE anipunguzie hata mmoja tu kwani ni aibu kubwa kutwa mimi na wenye wivu, chuki na roho mbaya wenzangu akina Dabil na @,Charles kilian tunamfanyia kila aina ya visa jamaa ( genta ) huku hadi tukimuombea ban kwa moderators huku tukitumia muda wetu mwingi kumshambulia au kubishana nae ili nasi ids zetu zijulikane na ziwe maarufu kama yeye lakini ndiyo kwanza hatujulikani, hatupati umaarufu wowote na hatuna hata follower mmoja wa Kuzugia tu

Kama hamtojali nitapendelea kila atakayeuchangia huu uzi wangu mwishoni atuambie ana followers wangapi hapa jamiiforums ili basi kama kuna wengine wanao wengi watupunguzie na sisi akina Cognizant wenye wivu, chuki na roho mbaya kwa members maarufu na wenye mvuto wao wa kipekee wa kiuwasilishaji hapa jamiiforums mfano wa akina Mshana Jr na GENTAMYCINE
Mkuu unajuaje idadi ya followers ulionao? Hao wa Mshana na wako umewajuaje? Mimi, kwa mfano, nina followers wangapi? 😳
 
Back
Top Bottom