Hao wenzako sio wavivu wa ku like comments za wengine, yaani hata wakitukanwa wao humwaga like tu.Kwa mfano binafsi sina hata follower mmoja hapa jamiiforums kama ilivyo kwa wenye wivu, chuki na roho mbaya wenzangu @Dabil na @Charles kilian
Hawatakuambia ng'oo πHata walioni follow siwajui na sijui wako wangapi? π€£π€£π€£π€£
Mlioni follow najua kuna kitu kimewasukuma kunifolo ebu njooni mniambie why mmenifolo my guys!!
Itakuwa wanagawa pesa na hatujui udugu ππππHivi followers humu wana faida/ hasara gani??
Waseme tujue ili tujue nini tuongeze au kipi tupunguzeπππHawatakuambia ng'oo π
Thithemi ng'oo ππWaseme tujue ili tujue πππ
Na wewe nimeona umenifolo πππThithemi ng'oo ππ
Kwanza hata unaziangalizia wapiπ€ ?? Na ushamba Wangu hata sijui mambo ya followers doh!!Hata walioni follow siwajui na sijui wako wangapi? π€£π€£π€£π€£
Mlioni follow najua kuna kitu kimewasukuma kunifolo ebu njooni mniambie why mmenifolo my guys!!
Na wewe nimeona umenifolo πππ
Hebu nambie basi bhana
Mi nimeona notification ya kambi ya fisi now amenifolo πππKwanza hata unaziangalizia wapiπ€ ?? Na ushamba Wangu hata sijui mambo ya followers doh!!
π€£π€£π€£π€£ khaaaaa!!!Napenda kiki na chai zako full stop
Hata sielewi mambo za followers walai πMi nimeona notification ya kambi ya fisi now amenifolo πππ
Nimekumbuka kuwa ulikunywa supu ya comredi Bashite πKwanza hata unaziangalizia wapiπ€ ?? Na ushamba Wangu hata sijui mambo ya followers doh!!
kweli tena sijui hata π!Nimekumbuka kuwa ulikunywa supu ya comredi Bashite π
Hiyo ndiyo sababu hujui nani anakufollow ππ