Naomba kujua kwanini Members wengine hapa wana Followers wengi na Wengine pamoja na Kujitutumua Kwetu JF bado hatuna hata Mmoja tu?

Hata sielewi mambo za followers walai 😊
Hapa nataka niwapitie wote afu niwaulize why wamenifolo? Ntakayeguswa na jibu lake ntampa vocha ya buku 10 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kumbe kuna watu wamenifolo na mwenyewe sijui 🀣🀣🀣
 
Hapa nataka niwapitie wote afu niwaulize why wamenifolo? Ntakayeguswa na jibu lake ntampa vocha ya buku 10 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kumbe kuna watu wamenifolo na mwenyewe sijui 🀣🀣🀣
Umetishaaa uduguuu! Bila shaka ushafikisha mia naushee huko!
 
Mkuu unajuaje idadi ya followers ulionao? Hao wa Mshana na wako umewajuaje? Mimi, kwa mfano, nina followers wangapi? 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…