Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Mie mwenyewe nimeshangaa huyu popoma itakuwa anashida sanaHv kumbe Kuna followers ndyo najua leo π€£π€£π€£
Me najua insta huko ndyo Kuna mambo haya
π€£π€£π€£π€£ kumbe uliona mfyuuuu!!!Juzi uzi fulani akataka kuongea habari sijui za mjeda wangu gani sijui walikua wanajungua pm nanani wanajua wenyewe wakamwambia atasuswa mi huku ngachekaaa πππ Lamomy huyuuu
SubirΓa huku umefumba na macho kabisa maana inakuja taratibu π πNasubiri πππ
Analia lia kuliko lastbornMir mwenyewe nimeshangaa huyu popoma itakuwa anashida sana
Wewe emu tulia upate mume πππWee komaa nae uduguuu unipe ili nigundue nini mi! π
Mi mwenyewe ndo nimeshangaa hapo hivi vitu hata sivielewi!Hv kumbe Kuna followers ndyo najua leo π€£π€£π€£
Me najua insta huko ndyo Kuna mambo haya
Kabisa anatatizo kubwa sanaAnalia lia kuliko lastborn
Hao ni mashemeji zangu ujue, sitaki ugomvi na mtu πNtakupa @Antonnia na @Missy Gf km kifungashio πππ
Haya πππSubirΓa huku umefumba na macho kabisa maana inakuja taratibu π π
Nina wame wengi hadi wengine sijui niwaweke wapi uduguuu π€ ! Sitrakiiii mi!Wewe emu tulia upate mume πππ
Mi nataka maokoto hapa
Shemeji hiyo kwiooHao ni mashemeji zangu ujue, sitaki ugomvi na mtu π
Umefanya la maana kumpiga stop πWee komaa nae uduguuu unipe ili nigundue nini mi! π
Sir midabwada bado anatutafutia mill 100 zetu πππNina wame wengi hadi wengine sijui niwaweke wapi uduguuu π€ ! Sitrakiiii mi!
Hayo ni makaratasi tu wala hayanaga maana yeyote, sihitaji wanioneshe hayo makaratasi ila najua ni mashemeji zangu hao.Waambie wakuonyeshe vyeti vya ndoa!!
Usikute ukiwa na followers wengi unalipwa π€£Mi mwenyewe ndo nimeshangaa hapo hivi vitu hata sivielewi!
Komaa nae mtoto mkaree balaa huyo!Umefanya la maana kumpiga stop π
Kwahili Uko makini sana!ππ UnajielewaπShemeji hiyo kwioo
Waambie wakuonyeshe vyeti vya ndoa!!
Kwanza shemeji mkwehe π€£π€£π€£π€£
Nimekwambia shemeji mkwehe km mnazi!!Hayo ni makaratasi tu wala hayanaga maana yeyote, sihitaji wanioneshe hayo makaratasi ila najua ni mashemeji zangu hao.