Naomba kujua Mmiliki wa Hotel inayokuja kwa Kasi sana Unguja Zanzibar ya Kwanza Hotel

Baada ya mzee Karume na Nyerere kuondoka zao, hivi sasa viongozi wote wanafanya uwekezaji wa kukufuru na wanatumia wageni ili kuficha identity zao.

Pale Zanzibar kwa hivi sasa mtifuano ni familia ya Karume na Head of state wa sasa, wanamtuhumu sana kuwa anauza assets jwa wageni wakati wao wanasahau walijimilikisha Zanzibar Beach Resort na wameshindwa hata kujifanyia modern renovation.

Inshort miradi ya uwekezaji mikubwa inayofanywa Zanzibar unaweza kuta ni ya viongozi sababu inaweza kuwa ni kutokana na sheria ya ardhi ilivyo.
 
Ukiona GENTAMYCINE nakuja na Jambo hapa Jamiiforums halafu ama Nalichokoza au Nasisitiza mno ( huku Nikifumba ) hapa na pale basi kwanza liamini 100% halafu pia kuwa nalo makini sana sawa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Mara unauliza,mara umekuja na jambo liaminiwe. So? So what! Af huyo mwenye initials, ana miiko gani ya kutomiliki Hoteli ya kifahari?
 
Ya mtoto wa jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…