Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana paje haipo kizimkaziMkuu ni kwanini umezungushia hap palipoandikwa Mji wa Kizimkazi? Hivi Paje nayo iko ndani ya Kizimkazi?
Huyo zuzu kapost nini tena [emoji23]mwanya alio nao? Mbona tayari eshajulikana.
Wenyewe Wa Spain achana na hiyo kitu iko pwani mchangani 5 StarAisee watu wana pesa sio mchezo
Mara unauliza,mara umekuja na jambo liaminiwe. So? So what! Af huyo mwenye initials, ana miiko gani ya kutomiliki Hoteli ya kifahari?Ukiona GENTAMYCINE nakuja na Jambo hapa Jamiiforums halafu ama Nalichokoza au Nasisitiza mno ( huku Nikifumba ) hapa na pale basi kwanza liamini 100% halafu pia kuwa nalo makini sana sawa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Let it be. Looks you're brainwashed by an idiot wind,that left you that.....Hopeless.
Ya mtoto wa jiweNijibuni haraka kwani kwa jinsi ilivyo, ilivyojengwa kwa haraka kuanzia tarehe 21 Machi, 2021 na inavyojaza Watu sasa na Huduma zake na Mimi GENTAMYCINE natamani kwenda, ila ili niende nikiwa na Furaha tele ningependa hasa nimjue Mmiliki wake ili nimpongeze kwani amejua kutumia Fursa na Mwanya ulioko / alionao.
Umetumia silaha nzitoInafanana kabisa na ile ya anayekubebesha Mimba zake Tukuka kila mwaka.
Acha utani basi na wewe!Kumbe
Ila kama ni hivyo acha nijifunze kifaransa tu niwe mpishi hapo
Nchi inaliwa sisi tunatafuta wanaokula
Illikuwa ni utani usioumiza boss 😄Acha utani basi na wewe!
Uachw maraha yote huko London uende kijijini Zanzibar?