Naomba kujua Mmiliki wa Hotel inayokuja kwa Kasi sana Unguja Zanzibar ya Kwanza Hotel

Naomba kujua Mmiliki wa Hotel inayokuja kwa Kasi sana Unguja Zanzibar ya Kwanza Hotel

The devil is on the details.....

1699896931045.png
 
Baada ya mzee Karume na Nyerere kuondoka zao, hivi sasa viongozi wote wanafanya uwekezaji wa kukufuru na wanatumia wageni ili kuficha identity zao.

Pale Zanzibar kwa hivi sasa mtifuano ni familia ya Karume na Head of state wa sasa, wanamtuhumu sana kuwa anauza assets jwa wageni wakati wao wanasahau walijimilikisha Zanzibar Beach Resort na wameshindwa hata kujifanyia modern renovation.

Inshort miradi ya uwekezaji mikubwa inayofanywa Zanzibar unaweza kuta ni ya viongozi sababu inaweza kuwa ni kutokana na sheria ya ardhi ilivyo.
 
Ukiona GENTAMYCINE nakuja na Jambo hapa Jamiiforums halafu ama Nalichokoza au Nasisitiza mno ( huku Nikifumba ) hapa na pale basi kwanza liamini 100% halafu pia kuwa nalo makini sana sawa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Mara unauliza,mara umekuja na jambo liaminiwe. So? So what! Af huyo mwenye initials, ana miiko gani ya kutomiliki Hoteli ya kifahari?
 
Nijibuni haraka kwani kwa jinsi ilivyo, ilivyojengwa kwa haraka kuanzia tarehe 21 Machi, 2021 na inavyojaza Watu sasa na Huduma zake na Mimi GENTAMYCINE natamani kwenda, ila ili niende nikiwa na Furaha tele ningependa hasa nimjue Mmiliki wake ili nimpongeze kwani amejua kutumia Fursa na Mwanya ulioko / alionao.
Ya mtoto wa jiwe
 
Back
Top Bottom