Naomba Kujua Pombe ni Dhambi au ni haramu? Imekatazwa na Quran au Mtume Mohamed?

sisi sio sawa na nyinyi msio hoji kila mnalo ambiwa sheikh akinywa kanywa yeye awezi simama mbele yetu akasema nyinyi mywe au msinywe tunafata maandiko tu

sisi sio sawa na nyinyi msio hoji kila mnalo ambiwa sheikh akinywa kanywa yeye awezi simama mbele yetu akasema nyinyi mywe au msinywe tunafata maandiko tu
Kwa hyo hata hao mabikra mshawahoji hao mashehe wakawapa uhakika sio?
 
Pombe haijawahi kuwa dhambi, au haram! Ila matendo mabaya yatokanayo na hiyo pombe sasa, ndiyo yatampeleka mtu kutenda dhambi! Na hivyo mwisho wa siku kuchukuliwa kama haram.
Mkuu Tate Mkuu toa neno kama nalewa chakari from monday to sunday ila sina ubaya na mtu wa mtaani ila mke wangu tu yeye hapendi pombe je hapo nina dhambi ?

Au yeye ndiye ana dhambi ya kuikataa starehe ya mwenzie.
 
Sijui, nahisi labda ya mama ako. Ila ni vizuri ukamuuliza. Yuko twitter nadhani
Kuna rule inaitwa 20/80 rule naona itakusaidia zaidi ka Google ujue maana yake maana kwa unavyoonekana hauna kichwa cha kujua hiyo rule kweli Tanzania kuna wagonjwa wengi sana.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Pombe haijawahi kuwa dhambi, au haram! Ila matendo mabaya yatokanayo na hiyo pombe sasa, ndiyo yatampeleka mtu kutenda dhambi! Na hivyo mwisho wa siku kuchukuliwa kama haram.
Natamani kushangilia ila ngoja nisubiri
 
Kama unataka kunywa kunywa usitake kuchokonoa yasiyokuwepo
 
Pombe ina madhara mengi sana na matukio mengi yasiyopendeza

Nuhu alikunywa pombe akavua nguo mwenyewe kisha akaishia kumlaani mwanae aliyeuona uchi wake

Leo watu wanakunywa pombe wanaishia kuzini na mabinti zao.....
Nyie pombe mnaichuliaje? Mnadhani tunaokunywa pombe hatuna akili? Mtu anywe aende kuzini na mwanae?
 
Kuna rule inaitwa 20/80 rule naona itakusaidia zaidi ka Google ujue maana yake maana kwa unavyoonekana hauna kichwa cha kujua hiyo rule kweli Tanzania kuna wagonjwa wengi sana.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Wewe ni mpumbavu sana. Yani kujua 80/20 rule ndo umejiona wa maana sana? That’s just something an elementary school kid is aware of. Don’t be a twat.
 
Pombe haijawahi kuwa dhambi, au haram! Ila matendo mabaya yatokanayo na hiyo pombe sasa, ndiyo yatampeleka mtu kutenda dhambi! Na hivyo mwisho wa siku kuchukuliwa kama haram.
Kwa ujue, Dhambi hutengenezwa na kosa, bila kosa hakuna dhambi.
 
Acha kuassume upumbavu. Wewe kama unaamini stories za mungu na wapumbavu wenzako huko msikitini kwenu ni wewe. Usinihusishe na ukristo mjinga mkubwa wewe. Am not stupid like you kuamini stories za colonizers. Pumbavu
Hahahaha kumbe ni popoma usie na Dini
Kweli umezidi upumbavu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
1 Wakorintho 6:9-10​

Au je, hamjui kwamba watu wabaya hawataurithi ufalme wa Mungu? Msijidanganye! Watu wanaoishi maisha ya uasherati, wanaoabudu sanamu, wazinzi, au walawiti, wezi, wachoyo, walevi, wasengenyaji, wanyanganyi, hao wote hawatashiriki ufalme wa Mungu.
 
Pombe sio haramu na wala si dhambi kutumika. Matumizi ya pombe kupita kiasi ndio yanayopelekea kukiuka kanuni za maisha.
Kila chakula au kinywaji kilichoko ndani ya mamlaka ya binadamu kikitumika kwa kiasi ni halali hadi pale tunapovuka mipaka.
 
Swadaqta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…