StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Uzi tayari. Natanguliza shukrani
Demokrasia... Wao ndio wamemuajiri akizingua anapisha wengineUzi tayari. Natanguliza shukrani
nenda utube umtafute lee makwiny uwe unamsikiliza anayosema utajua hicho utakachoUzi tayari. Natanguliza shukrani
Amezingua nini?Demokrasia... Wao ndio wamemuajiri akizingua anapisha wengine
Ruto amezingua nini kwa mujibu wa katiba yao au ahadi zake kwa wakenya?Sababu kubwa ni kwakuwa wanajitambua na kujua haki zao msingi .
Ruto is there for a while kwahiyo Katiba ,demokrasia mambo yote haya wanayajua vizuri .
🙏nenda utube umtafute lee makwiny uwe unamsikiliza anayosema utajua hicho utakacho
Nimesema AKIZINGUAAmezingua nini?
Idd Amin Mama ndiye Mama yake Mzazi wa Idd Amin au?Idi amini mamaa
Hadi wanasema "Ruto must Go" maana yake Ruto ameshazingua tayari. Hiyo mizinguo ndio nataka kuijua.Nimesema AKIZINGUA
Kapandisha sana kodi halafu ufisadi umeongezeka sanaHadi wanasema "Ruto must Go" maana yake Ruto ameshazingua tayari. Hiyo mizinguo ndio nataka kuijua.
Asante🙏Kapandisha sana kodi halafu ufisadi umeongezeka sana
Ukiwa humtaki raisi ndo unajitambua au cyo..Sababu kubwa ni kwakuwa wanajitambua na kujua haki zao msingi .
Ruto is there for a while kwahiyo Katiba ,demokrasia mambo yote haya wanayajua vizuri .
Na vipi katiba yao inaruhusu Rais aliyepo madarakani kutolewa ikitokea amepandisha kodi au kutoa mianya ya ufisadi?.Kapandisha sana kodi halafu ufisadi umeongezeka sana
Yeah ukishindwa Ku deliver unapisha kitiNa vipi katiba yao inaruhusu Rais aliyepo madarakani kutolewa akipandisha Kodi au kutoa mianya ya ufisadi?.
Ruto ni muendelezo wa matatizo kwakuwa Kenya ni moja ya nchi ili uishi vizuri unabidi kuwa very smart upstair VITA ya mkate Kenya inahitaji Akili Sana.Ruto amezingua nini kwa mujibu wa katiba yao au ahadi zake kwa wakenya?
Mbona hadi sasa Ruto hajapisha kiti?Yeah ukishindwa Ku deliver unapisha kiti
Ukiwa unajitambua unakuwa unajua ubaya na uzuri wa RaisUkiwa humtaki raisi ndo unajitambua au cyo..
Katiba yao ina meno?. Kwa nini kama yeye ni muendelezo wa matatizo ya Kenya bado yupo madarakani?. Kwa nini Katiba Yao haijamng'ata?Ruto ni muendelezo wa matatizo kwakuwa Kenya ni moja ya nchi ili uishi vizuri unabidi kuwa very smart upstair VITA ya mkate Kenya inahitaji Akili Sana.