DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Unafahamu uwajibikaji ?Mbona hadi sasa Ruto hajapisha kiti?
Katika nchi za Africa hakuna uwajibikaji .
Mfano huyo RUTO yupo tayari auliwe akiwa madarakani na sio kupisha hicho kiti.
Kwahiyo vijana wa Kenya wanachofanya ni kutimiza wajibu wao waku-raise voice kwa viongozi wao wameonekana kuwa Currupt , n.k .
Ikiwa wewe ni mfatiliaji wa siasa unaweza kuelewa jambo hapo kuwa Serikali nyingi zimeondolewa madarakani kwa style Kama hizo.
Na muda mwingine this is weak up call kwa kiongozi kuwa soon or later usiporekebisha mambo unaweza kundolewa kwa nguvu au kwa namna yoyote ile.
So as a leader don't despise the voice