DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Unafahamu uwajibikaji ?Mbona hadi sasa Ruto hajapisha kiti?
Katiba yao ina meno?. Kwa nini kama yeye ni muendelezo wa matatizo ya Kenya bado yupo madarakani?. Kwa nini Katiba Yao haijamng'ata?
Basi hiyo Katiba yao nayo kama ya kwetu tu. Nilitegemea Rais akizingua(kwenda kinyume na Katiba au kufanya aina yoyote ya uzembe wenye athari hasi kwenye maisha ya raia wake) basi madaraka yake yaishie hapo on the spot!.Unafahamu uwajibikaji ?
Katika nchi za Africa hakuna uwajibikaji .
Mfano huyo RUTO yupo tayari auliwe akiwa madarakani na sio kupisha hicho kiti.
Kwahiyo vijana wa Kenya wanachofanya ni kutimiza wajibu wao waku-raise voice kwa viongozi wao wameonekana kuwa Currupt , n.k .
Ikiwa wewe ni mfatiliaji wa siasa unaweza kuelewa jambo hapo kuwa Serikali nyingi zimeondolewa madarakani kwa style Kama hizo.
Na muda mwingine this is weak up call kwa kiongozi kuwa soon or later usiporekebisha mambo unaweza kundolewa kwa nguvu au kwa namna yoyote ile.
So as a leader don't despise the voice
Basi still hiyo Katiba ni kibogoyo Mkuu. Why hadi maandamano tena kwa makosa ya wazi(kiburi au uzembe)?. Kwa nini wasiwe na utaratibu wa kupiga Kura ya kutokuwa na Imani na Rais then majority wazingatiwe?Kumbuka katiba ni kitabu .
Ikiwa hamtotimiza kile kilichoandikwa katika katiba basi katiba inabaki kuwa ni kitabu tu.
Pia usitegmee vijana wakipinga au kuandamana ndo kiongozi anatoka maarakani , Mara nyingi kiongozi anaamua kuachia madaraka kwa kushuriwa na vyombo vya usalama na kuangalia maslahi ya pande zote mbili kati ya kiongozi na wananchi.
Mfano wewe ukiipinga Serikali kwakushindwa Ku-offer kile mmekubaliana kikatiba n.k
Mkaamua kuandamana mfululizo basi Serikali na vyombo vya usalama vitaanza vimlinde Rais Ila Rais akizidiwa nguvu na wananchi basi vyombo hivyo Vya usalama vinaamia kuwalinda wananchi na kukuondoa ili maslahi ya wengi yafikiwe.
Katiba ni kitabu don't be fooled nchi ambazo zinajitambua ndo huwa zinaheshimu katiba and not nchi za kiswahiliBasi hiyo Katiba yao nayo kama ya kwetu tu. Nilitegemea Rais akizingua(kwenda kinyume na Katiba au kufanya aina yoyote ya uzembe wenye athari hasi kwenye maisha ya raia wake) basi madaraka yake yaishie hapo on the spot!.
Wenzetu hufanya hivi Kama UK n.kBasi still hiyo Katiba ni kibogoyo Mkuu. Why hadi maandamano tena kwa makosa ya wazi(kiburi au uzembe)?. Kwa nini wasiwe na utaratibu wa kupiga Kura ya kutokuwa na Imani na Rais then majority wazingatiwe?
Katiba kutoa mwanya wa Rais kang'ang'ania madaraka anapokengeuka hilo nalo ni shidaUnafahamu uwajibikaji ?
Katika nchi za Africa hakuna uwajibikaji .
Mfano huyo RUTO yupo tayari auliwe akiwa madarakani na sio kupisha hicho kiti.
Kwahiyo vijana wa Kenya wanachofanya ni kutimiza wajibu wao waku-raise voice kwa viongozi wao wameonekana kuwa Currupt , n.k .
Ikiwa wewe ni mfatiliaji wa siasa unaweza kuelewa jambo hapo kuwa Serikali nyingi zimeondolewa madarakani kwa style Kama hizo.
Na muda mwingine this is weak up call kwa kiongozi kuwa soon or later usiporekebisha mambo unaweza kundolewa kwa nguvu au kwa namna yoyote ile.
So as a leader don't despise the voice
Huko kujitambua kunakujaje bila miongozo ya kuwashape watu hivyo ikiwemo Katiba?. Kwamba hao wanaojitambua walizaliwa wanajitambua automatically?Katiba ni kitabu don't be fooled nchi ambazo zinajitambua ndo huwa zinaheshimu katiba and not nchi za kiswahili
Wamedekezwa sana. Ni sawa na katoto ka kishua kuna wageni wanakuja afu kanawafukuza na kuwafanyia fujo. Na baba anasema junior Acha basiii. Wakati huku Tanzania ikitokea tunapiga mbata hadi anakunya. Wacha waharibu nchi yao ife uchumi sisi tutawaajiri. Wakija huku wakileta za kuleta tunapiga mbata fucken kabisaaUzi tayari. Natanguliza shukrani
Kwa hiyo Wakenya especially vijana huwa wanaamka tu na kuanza kuandamana "Ruto must Go" hata kama huyo Ruto hajafanya blunders(hasa ikizingatiwa kwamba ni wao ndio waliomchagua tena kwa wingi wao?)Wamedekezwa sana. Ni sawa na katoto ka kishua kuna wageni wanakuja afu kanawafukuza na kuwafanyia fujo. Na baba anasema junior Acha basiii. Wakati huku Tanzania ikitokea tunapiga mbata hadi anakunya. Wacha waharibu nchi yao ife uchumi sisi tutawaajiri. Wakija huku wakileta za kuleta tunapiga mbata fucken kabisaa
Kujitambua ni mchakato na sio matokeo.Huko kujitambua kunakujaje bila miongozo ya kuwashape watu hivyo ikiwemo Katiba?. Kwamba hao wanaojitambua walizaliwa wanajitambua automatically?
Akiitwa na Maulana maana yake Maulana anakuwa ameonesha Mamlaka yake aliyo nayo juu ya Ruto. Nataka kuyaona Mamlaka ya Wakenya kwa Ruto especially Ruto(Rais) akifanya fyongo!Nitakujibu kesho, sasa hivi nina akili za usiku. Ila hata kama mtu asipo Go kwenye madaraka si ataGo kwa kuitwa na Maulana ama? Time will tell
Wazazi wako hawakutupa Ada. Kama ni hivyo Mkuu,basi Sisi tunatakiwa tuwe na speed kubwa zaidi ya kupursue civilization kuliko waliotutangulia kwa sababu tuna advantage ya kurefer trials and errors zao kisha sisi tukaboresha chap!Kujitambua ni mchakato na sio matokeo.
Wenzetu ulaya na America mambo tunapitia sisi mwaka 2025 ya wizi wa kura , rushwa, kukandamiza haki raia kuteka n.k
Wao wamepitia zamani zaidi ya miaka kuanzia 100-200 nakuendelea
So sisi tupo ktk civilization stage Ila hatujawa Civilized moja kwa moja.
Ila klichopa kuna kujitambua kwa wachache au mmoja na sio wote.
Nakushauri badilisha username yako badala ya kujiita Barca jiite Real Madrid and to be more specific jiite Sergio Ramos ambaye yupo tayari kumvunja Mo Salah bega ili anyakue UEFA😄Wamedekezwa sana. Ni sawa na katoto ka kishua kuna wageni wanakuja afu kanawafukuza na kuwafanyia fujo. Na baba anasema junior Acha basiii. Wakati huku Tanzania ikitokea tunapiga mbata hadi anakunya. Wacha waharibu nchi yao ife uchumi sisi tutawaajiri. Wakija huku wakileta za kuleta tunapiga mbata fucken kabisaa