Naomba kujua shule nzuri kwa wasichana

Naomba kujua shule nzuri kwa wasichana

Kuna shule mazingira yake ni mazuri kuliko chuo kikuu; mtoto akisoma kwenye hayo mazingira lazima akawekeze kiwanda Marekani au Ulaya; tofauti na hapo utakuwa unatengeneza watafuta ajira.
 
umesema st mary's duluti

mchanganyiko hiyo form 1-6

nimesimuliwa na waliosoma, nimeshafika pia
Ok,
Screenshot_20240126-203116_Chrome.jpg
 
palloti ...Siuyu Singida 2m
st. Merry Duluti...Arusha 2m
St. Gregory Arusha 2m
hizi ni shule bora kwa malezi ya mtoto
jamani palloti ishafika 2m , kuna nyingine inaitwa st.carolas ipo miss una singida zote zipo vizuri sana ila kwenye kutema yai nina mashaka
 
Back
Top Bottom