Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Sijui....hv mtoa mada ametaka shule za advance nilikuwa sijasoma vizuriSt Francis Mbeya ina advance kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui....hv mtoa mada ametaka shule za advance nilikuwa sijasoma vizuriSt Francis Mbeya ina advance kwani?
Sasa sahv atataka shule gani? Km o level si tayar wako shule.Sijui....hv mtoa mada ametaka shule za advance nilikuwa sijasoma vizuri
Labda anataka kuhamiaSasa sahv atataka shule gani? Km o level si tayar wako shule.
Yes itakua.Labda anataka kuhamia
Asante Sega la asali mungu akubarikipalloti ...Siuyu Singida 2m
st. Merry Duluti...Arusha 2m
St. Gregory Arusha 2m
hizi ni shule bora kwa malezi ya mtoto
Mchanganyiko hapana
mpeleke Feza girls
Ada zao balaa
Ada zao balaa
Inalipika tu, ngumu kwetu wavongo ni hizo za 10 millionMazinde juu bei yao ni 4,110,000/year
Basi wahi, na nyingine bora kabisa ni Precious blood, bei nayo ni 4mInalipika tu, ngumu kwetu wavongo ni hizo za 10 million
Kumbe ukikomaa unaweza tuView attachment 2884579Ada zao balaa
CHeki na Harrison-uwata, iko mbeya, wanafanya vizuri sanaInalipika tu, ngumu kwetu wavongo ni hizo za 10 million
feza kuna inayotumia mtaala wa cambridge na inayotumia mitaala ya kibongo ada yake haiumizi sanaView attachment 2884579Ada zao balaa
Mazinde juu siyo mazinge.Habari wakulu.
Bila shaka wengi wetu tunatamani watoto.wetu wasome shule sahihi, salama na hatimaye ahitimu katika ubora.
Ni kawaida kuona kuwa mwanenu amehitimu shule zake na akaamua kuingia kitaani kuhulsle hata kama hatapata best job ila apate kaelimu kamtoe tongo.
Ka uzungu akajue, vijana mnaita kutema yai.
Kama kuna kaubunifu na ujanja wa duniani asiachwe.
Hapa nalenga shule za kawaida sekondari for girls tu. Katika hifadhi kichwan mwangu naijua
.
1. Mazinge juu
2. Marian girls
3.
Kwa ufupi sina zaidi ya hizo.
Msaada wenu.
Mimi wenu Mama Edina
Nilichanya majina niliyoisikis ni bright future iko dsm ni ya bweniArusha baada ya makumira hapo kabla hujafika tengeru