Naomba kujua shule nzuri kwa wasichana

Naomba kujua shule nzuri kwa wasichana

Peleka Binti Yako oswe secondary school lpo mkoa wa songwe 🤣🤣🤣🤣🪑💺
 
mpeleke Feza girls
Screenshot_20240127_134111_WPS Office.jpg
Ada zao balaa
 
Habari wakulu.

Bila shaka wengi wetu tunatamani watoto.wetu wasome shule sahihi, salama na hatimaye ahitimu katika ubora.

Ni kawaida kuona kuwa mwanenu amehitimu shule zake na akaamua kuingia kitaani kuhulsle hata kama hatapata best job ila apate kaelimu kamtoe tongo.

Ka uzungu akajue, vijana mnaita kutema yai.

Kama kuna kaubunifu na ujanja wa duniani asiachwe.


Hapa nalenga shule za kawaida sekondari for girls tu. Katika hifadhi kichwan mwangu naijua
.

1. Mazinge juu
2. Marian girls
3.

Kwa ufupi sina zaidi ya hizo.
Msaada wenu.

Mimi wenu Mama Edina
Mazinde juu siyo mazinge.
 
Back
Top Bottom