Naomba kujua shule nzuri kwa wasichana

Kuna shule mazingira yake ni mazuri kuliko chuo kikuu; mtoto akisoma kwenye hayo mazingira lazima akawekeze kiwanda Marekani au Ulaya; tofauti na hapo utakuwa unatengeneza watafuta ajira.
 
palloti ...Siuyu Singida 2m
st. Merry Duluti...Arusha 2m
St. Gregory Arusha 2m
hizi ni shule bora kwa malezi ya mtoto
jamani palloti ishafika 2m , kuna nyingine inaitwa st.carolas ipo miss una singida zote zipo vizuri sana ila kwenye kutema yai nina mashaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…