Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

Hakuna mjita anaeoa mjita labda mjita wa kuja
 
Wasukuma Wanapenda sana mambo ya jadi,ukiwa mtoto wa mama uchelewi kutolewa msukule but Wana utii heshima na adabu
Kiu kweli kwasasa hakuna kabila la kuoa ambalo ni la kuaminika!zamani walipewa chapuo wabena!Hadi ukiwa kwenye gari unaenda huko kusini Mzee anakubwatukia "eti kijana unaenda kuoa"

Lakini Sasa hivi leo ukijichanganya tu imekula kwako mazima!!!

Hila,Sanaa,ujanja ujanja,mdomo,mashindano,kisasi hasta Cha miaka kumi!anakimbuka kibao kimoja anasahau nyumba,dela,chipsi n.k!!

Suluhidho ni nini!!?

Ondoa fikra za umilele was ndoa Hadi Hadi kifo kikutenganishe!Ondoa hiyo kansa ya "Hadi kifo kikutenganishe nae!utakufa kweli!!Cha msingi nini!!?Hadi pale utakapoona tulipofika ni mwisho hakuna jipya tena!unaoa tena unamwacha pale !akiamua kuolewa aolewe akiamua kukaa akae akiamua kuhama ahame akiamua kubeba watoto abebe akiamua kukuachia akuachie kuliko kuvumilia mtu mliekutana ukubwani halafu umfanye wa milele!!Big NO!

Akili kumkichwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…