Naomba kujulishwa jinsi ya kufika Brazil

Naomba kujulishwa jinsi ya kufika Brazil

MKUU mambo hayo watu wanasaidiaba na kushirikiana TATIZO ni kutopata watu sahihi wa kukusaidia,,,inategemea na network YAKO ya watu wako....kama unahitaji viza ya inchi yeyote DUNIANI.. Isipokuwa hyo Brazil na Pakistan nione inbox..huko kuna maelekezo ya kutotoa VIZA..
Haya ndio mambo wabongo wanatakiwa washirikiane kama wenzetu nigeria.sio mtu anajibu panda kiaz kitamu.pumbavu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kama usharidhika na kuuza GENGE endelea,,,usiwavunje moyo MABAHARIA... elewa MAWAZO ULIYOKUWA NAYO HAPA, ,,UKIWA NJE YA INCHI HUWEZI KUWAZA THE SAME...
Ataenda kufa njaa?? Wewe ulishawahi kwenda ukafa njaa? Je una statistic ya watu walio kufa njaa Brazil??

Embu, wabongo tubadilike, tusiwe na mawazo mgando , hasa kama huna research yoyote kuhusu nchi za watu.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU ni kweli tupu,,kuna mashirika ya NDEGE ya KINAFIKI SANA mfano SWISS AIR...ukipanda LAZIMA watume FAX UNAPOSHUKA,,,ukifika unakutana na JAMAA,, wanaanza kukusumbuwa,,,Emirates wapo vizuri..
Mkuu nimekukubali sana, umeongea facts zote hizo.

Na mimi nipo kwenye process za kuingia Canada..

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nieleweke hivi.Mimi siendi Brazil kuishi.Napita tu njia.Sina mpango wa kuishi pale.Nilisoma bandiko huku kuhusu wahamiaji alitaka risk wamefika nchi ya ahadi.Please naomba msinifikirie vibaya wala msiniandikie kujiuliza mchongo wowote.Sina na mimi natafuta njia nitoke.
 
safari hii tupo watu wawili na tunapita njia tu tukielekea Mexico kujaribu kuingia Marekani kisha Canada.
kulikuwa na safari nyingine zaidi ya hii..??

subiri Corona iishe,, otherwise utajuta
 
Mie nataka kwenda Denmark baada ya corona kuisha naomba mwenyeji wa nchi hii aje PM tuyajenge ila tahadhari usiwe Janja janja utaishia pabaya uje ukiwa na uhakika kuwa kweli we ni mwenyeji mwema
 
Wanajamvi naomba maelekezo kidogo .Mwenzenu nikitaka kufika Brazil naendaje?

Kule nina mwenyeji tayari anaishi Sao Paolo.Je ni lazima kupanda ndege au hata kwa meli nitafika??safari hii tupo watu wawili na tunapita njia tu tukielekea Mexico kujaribu kuingia Marekani kisha Canada.

Kwa anaejua njia naomba mawazo yenu na ujuzi wenu.nataka intake risk nijaribu kufika nchi ya ahadi baada ya janga la Corona kupoa. Asanteni

Nchi ya ahadi ni wapi huko kamanda?
 
Ushawahi kusikia mtu anaenda brazil kutembea au kufanya kazi! Aise utarudi huna nguo kamanda..sikushauri uende, utayakumbuka maneno yangu...ni heri uende nchi zilizostaarabika kama vile Argentina, Canada, Uingereza, Singapore, Malaysia, Ethiopia au nchi za uarabuni.
 
Ndugu yangu Brazil [emoji1054] utaenda kufa njaa napajua vizuri hakuna namna yeyote yakutoka zaidi ya kuwa kicontena cha kubeba unga


Sent using IPhone X

Huyu kijana sijui nani kamshawishi, nchi yenyewe inahitaji msaada kama huku, ufuska wote unapatikana huko, atarudi na chupi we mwache 😀 na atakuja kusimulia hapa
 
Back
Top Bottom