OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkuu naomba kujua mambo kadhaa, kwa hiyo dimensions yako ya 7X9Wakuu, Sorry kwa kupotea kidigo..... Nimemaliza kila kitu na kwa sasa linatumika, Ningeweka picha lakini sidhani kama itakuwa busara....
Mkuu naomba kujua mambo kadhaa, kwa hiyo dimensions yako ya 7X9
1. Gharama za fundi kujenga Msingi
2.Umetumia nguzo ngapi
3. Gharama za fundi kuwepa nguzo
4. Nguzo umeweka nondo size gani
Asante mkuu. Naomba kujua kuhusu gharama za fundi kujenga msingiMkuu hizi taarifa mpaka niangalie kwenye document lakini nilishazitoa huko nyuma
Ila nondo nimetumia 12mm
Alikula 1M....nilikuwa nawapa vi incentives kama making, matunda nkAsante mkuu. Naomba kujua kuhusu gharama za fundi kujenga msingi
Huo msingi au kupaua? Kwa kuangalia ramani bila kujali anajengea wapi gharama za msingi sio Chini 30M...Variation ni Kati ya 30M na 45M,itategemea na usimamizi,wapi ananunua material, profile ya eneo la ujenzi na namna alivyoongea na engineer/fundiNatumia uzoefu wangu maana vipimo havionekani vizuri. Hapo roughly andaa 15M mpaka 17M kutegemea na mahali ulipo bei ya materials ikoje na utatumia njia ipi kujenga i.e mkandarasi (kampuni), fundi maiko au utanunua materials na kumtafuta mtaalam (engineers) akujengee.
Vipimo vingeonekana ningekusaidia vizuri zaidi mkuu.
Tegemea mtikisiko mkubwa baadae.Ukimaliza uanze kuishi peke yako usije kuleta maafa Kwa familiaMREJESHO: Nakaribia kumaliza msingi wa ki GHOROFA, lakini 10M haijaisha bado. Nadhani wakadiriaji wengi au makampuni ya ujenzi yanatukatisha tamaa sana wananchi, niliogopa waliponiambia 50M kuweka msingi
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Nyie danganyaneni. Mtaangukiwa na vijighorofa uchwara Kwa kufosi mambo😆😆..Mimi nawachora! Ukiwa masikini usijenge ghorofa utajaanguliwa na kifusi bure hapo baadaeDuuhh Nyingi mno hiyo, labda itategemea finishing Yako itakuwaje, sisi ni wazee wa tyles za kawaida na finishing za bei poa
Acha kumtisha bwana mnakuza mambo wakati hamjawahi kujenga mimi nimeshiriki kujenga msingi kwa TZS 9.2 million wenye foundation za foot 5 deep, wenye size ya square meter 80, na hapo michoro yote iligharimu 1.5 million na structural engineer amesimania kazi yote ya msingi mpaka unaisha.Tegemea mtikisiko mkubwa baadae.Ukimaliza uanze kuishi peke yako usije kuleta maafa Kwa familia
Wapi na mwaka gani?Acha kumtisha bwana mnakuza mambo wakati hamjawahi kujenga mimi nimeshiriki kujenga msingi kwa TZS 9.2 million wenye foundation za foot 5 deep, wenye size ya square meter 80, na hapo michoro yote iligharimu 1.5 million na structural engineer amesimania kazi yote ya msingi mpaka unaisha.
Cheka kigamboni june 2024Wapi na mwaka gani?
Sikubishii ila taarifa kama hizo zinasaidia kupata uhalisia wa gharama.
Mkuu hili jengo lilikuwa na nguzo ngapi? lilikuwa ni jengo la makazi? au ilikuwa ni fremu?Acha kumtisha bwana mnakuza mambo wakati hamjawahi kujenga mimi nimeshiriki kujenga msingi kwa TZS 9.2 million wenye foundation za foot 5 deep, wenye size ya square meter 80, na hapo michoro yote iligharimu 1.5 million na structural engineer amesimania kazi yote ya msingi mpaka unaisha.
Kaka unadharau 80m2 any way ilikuwa la makazi tena vyumba vitatu vikubwa kimoja chini, living room na kitchen viwili juu na balconyMkuu hili jengo lilikuwa na nguzo ngapi? lilikuwa ni jengo la makazi? au ilikuwa ni fremu?
Samahani sana mkuu sikuwa na nia mbaya nilipouliza kama ilikuwa ni fremu nisamehe kaka nilitaka tu kupata maarifa wala sikuwa na nia ya kutweza ulichoandika so samahani sana.Kaka unadharau 80m2 any way ilikuwa la makazi tena vyumba vitatu vikubwa kimoja chini, living room na kitchen viwili juu na balcony
Ni karibu na ufukwe wa bahari (chini ya 1/2km kutoka ufukweni)?Cheka kigamboni june 2024
Sawa mkuu nothing seriousSamahani sana mkuu sikuwa na nia mbaya nilipouliza kama ilikuwa ni fremu nisamehe kaka nilitaka tu kupata maarifa wala sikuwa na nia ya kutweza ulichoandika so samahani sana.
Bora wenye uzoefu mnatoa experience, kaka hili jengo lilikuwa na nguzo ngapi?Acha kumtisha bwana mnakuza mambo wakati hamjawahi kujenga mimi nimeshiriki kujenga msingi kwa TZS 9.2 million wenye foundation za foot 5 deep, wenye size ya square meter 80, na hapo michoro yote iligharimu 1.5 million na structural engineer amesimania kazi yote ya msingi mpaka unaisha.
kukadiria kwa km ila zinaweza kufika 2 mpaka 3 ni njia ya kuelekea kisarawe II kutokea cheka ni eneo tambarare lenye mchanga sanaNi karibu na ufukwe wa bahari (chini ya 1/2km kutoka ufukweni)?
Kama ni hivyo, je kuna changamoto ya unyevunyevu, chumvi chumvi au udongo tofauti na mazingira tuliyozoea?
Tupe uzoefu wako, kuna jamaa fulani wanafikiria kuja kujenga mazingira ya Karibu na fukwe, ila hawajui changamoto za mazingira kama zina tofauti kubwa na sehemu zingine.