political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 295
- 792
- Thread starter
-
- #41
Angalia jengo lisije likawapondaMREJESHO: Nakaribia kumaliza msingi wa ki GHOROFA, lakini 10M haijaisha bado. Nadhani wakadiriaji wengi au makampuni ya ujenzi yanatukatisha tamaa sana wananchi, niliogopa waliponiambia 50M kuweka msingi
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Kweli jina la mjinga mm linakufaaSwali lako ni gumu,.
Maana kuna cement, nondo,mafundi, vibarua n k
Hauwezi kukadiria kienyeji gharama zake.
Toa mchanganuo, hakuna msingi wa nyumba ya ghorofa wa chini ya 10m hata kama ufundi ni bure.MREJESHO: Nakaribia kumaliza msingi wa ki GHOROFA, lakini 10M haijaisha bado. Nadhani wakadiriaji wengi au makampuni ya ujenzi yanatukatisha tamaa sana wananchi, niliogopa waliponiambia 50M kuweka msingi
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Nimemaliza msingi:MREJESHO: Nakaribia kumaliza msingi wa ki GHOROFA, lakini 10M haijaisha bado. Nadhani wakadiriaji wengi au makampuni ya ujenzi yanatukatisha tamaa sana wananchi, niliogopa waliponiambia 50M kuweka msingi
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
pichaNimemaliza msingi:
Nondo 12mm ni 48
Nondo 8mm ni 15
Cement ni 61
Kokoto Mende moja na fuso moja
Mchanga Mende 1 na gari ndogo 2
Nimetumia kana 8.7M kwa mambo yote.
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
JF bana…mkuu yeye ndo anajenga. Wewe unamwambia haiwezekani. Jitafakari. Au unafikiri anajenga Jengo la serikali?Toa mchanganuo, hakuna msingi wa nyumba ya ghorofa wa chini ya 10m hata kama ufundi ni bure.
Yaani mkiwasikiliza watu wa Humu hamtakenga. GHOROFA ni kawaida kujenga tena inasaidia kutumia Eneo vizuri.JF bana…mkuu yeye ndo anajenga. Wewe unamwambia haiwezekani. Jitafakari. Au unafikiri anajenga Jengo la serikali?
Msingi umechukua square metres ngapi?MREJESHO: Nakaribia kumaliza msingi wa ki GHOROFA, lakini 10M haijaisha bado. Nadhani wakadiriaji wengi au makampuni ya ujenzi yanatukatisha tamaa sana wananchi, niliogopa waliponiambia 50M kuweka msingi
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Ujumbe wangu wa kwanza nilionyesha kila kitu na mkaomba ramani nikawapatiaMsingi umechukua square metres ngapi?
Wengi ni weziMREJESHO: Nakaribia kumaliza msingi wa ki GHOROFA, lakini 10M haijaisha bado. Nadhani wakadiriaji wengi au makampuni ya ujenzi yanatukatisha tamaa sana wananchi, niliogopa waliponiambia 50M kuweka msingi
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Huyu ndio wale anadanganywa sisi ni engineers wakati kwa sehemu kubwa engineer hagusi hata chepe. Kazi yake kubwa maelekezo tuJF bana…mkuu yeye ndo anajenga. Wewe unamwambia haiwezekani. Jitafakari. Au unafikiri anajenga Jengo la serikali?
Formworks za kazi gani jumba binafsi?ushauri tu awe na hiyo kitu. kuna chuma zinasukwa chini (base) na kuzunguka msigi wote, kuna tofali zinazikwa kozi zaidi ya saba za kulaza, kuna mkanda unapigwa mzunguko wote, kuna zege chini kwenye base na huo mkanda, kuna kifusi cha kujaza, kuna framework za kufunga na mambo ya mafundi. Basically, ata cement. mchanga, na kokoto zote zimepanda
Mimi Kwa kuwa nilikuwa nataka kujenga ofisi yenye GHOROFA,nilitembelea site moja niliyokuta inajengwa,engineer alikuwa anatumia foremen na mafundi wengine lakini na foremen alikuwa anashika mwiko ila engineer amevaa tai....nilichofanya nikamchukua foremen nikampa mchoro alionicholea class mate wangu architecture na kumpa 250,000 nakumbuka fundi akasema anaweza kuuimplement. Akaanza aiseee kwa 1M amejenga msingi wote umeisha na nondo zimesumama ndefu .....nilichogundua tumia Hawa ambao si Wasomi ila wana uzoefu hawaachi pesa mnazungumza.Huyu ndio wale anadanganywa sisi ni engineers wakati kwa sehemu kubwa engineer hagusi hata chepe. Kazi yake kubwa maelekezo tu
Hujaweka tofari?Nimemaliza msingi:
Nondo 12mm ni 48
Nondo 8mm ni 15
Cement ni 61
Kokoto Mende moja na fuso moja
Mchanga Mende 1 na gari ndogo 2
Nimetumia kana 8.7M kwa mambo yote.
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Labda QSAre you an engineer or something? Maana naona unataka kumkatisha tamaa tu.