Frank mtanganyika
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 497
- 785
hongera mkuu msingi hautakiwi kula garama kubwa msingi pamoja na michoro ni only 13-15 percent tu ya overal cost ya jengo zima kinachokost ni kumimina hiyo slab hapo juu hiyo hela uliyotumia hapo chini unaweza kuta ndo garama za nondo tu hapo juu kutegemea na ukubwa wa square meter za jengo lako, bado cement, mchanga, kokoto
Hii ndo tofauti kati ya JF na Social Media zingine.... I love JF.....Sitatoa mchanganuo sababu Kuna vitu tayari umeshaviandaa. Ila roughly andaa Kati 22M mpaka 26M kwa kila kitu. Ila sababu baadhi ya vitu tayari unavyo, mzigo utapungua.
Kifupi ongeza nondo za 12mm ili zitumike kwenye plinth beam.
Hizo 16mm tumia kwenye columns. Hizo 8mm lazima zitadai sababu beams ni nyingi.
Sogeza mawe hapo site kabisa(ikibidi).
Mchanga, kokoto, tofali na misumari vinatosha na kubaki kabisa.
NB. Kesho jioni nakutumia mchanganuo in details kabisa.
Ardhi yako si ya kubadilisha udongo?Wakuu sasa nataka kuhamia kwenye Choo kabla ya kuanza boma. Lengo ni udongo utakaopatikana napeleka kwenye msingi sehemu ambayo haijafukiwa.
Naomba ushauri nichimbe shimo ya Namna gani? Na kitakula bei gani
Asanteni
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu, hatubadilishi udongo.Ardhi yako si ya kubadilisha udongo?
Check na hawaNaomba pia kama unamfahamu anayeweza kujenga vyoo vile vifupi lakini vya kisasa visivyochukua Eneo kubwa
Kama umeamua kujenga choo cha nje kwanza, na kuepuka uchafuzi wa mazingira; chimba kwanza karo la choo ambalo litatumika pia kwenye jengo lako kubwa, kisha jenga choo chako cha nje cha maji, uunganishe kwenye hilo karo.Naomba pia kama unamfahamu anayeweza kujenga vyoo vile vifupi lakini vya kisasa visivyochukua Eneo kubwa
Mafundi hawa hawa ndo hutumika kujenga, muhimu upate ambaye amewahi jenga ghorofaNawaomba radhi wote mlioniPM Kuuliza mambo mbalimbali kuhusu ujenzi wa gorofa moja.sikuwa nimepita PM kwa muda mrefu.
Leo nimewajibu nyote kwa mpigo.
Ushauri.
Kama.kiwanja chako kidogo Jenga GHOROFA siyo bei kubwa,lakini kuwa makini na mafundi wanatutisha sana. Tumia mafundi wa kawaida Wanaweza kujenga tu na kazi ikawa imara kwa bei nzuri. Simamia mwenyewe ,nunua vifaa mwenyewe.
Well said, Mimi niliona kighorofa kama nachotaka nikauliza fundi nani wakanionyesha nikaongea nae bila kumuuliza site engineerMafundi hawa hawa ndo hutumika kujenga, muhimu upate ambaye amewahi jenga ghorofa
Mkuu kwa unavyoona mpaka umalize unaweza tumia pesa kiasi gani?Well said, Mimi niliona kighorofa kama nachotaka nikauliza fundi nani wakanionyesha nikaongea nae bila kumuuliza site engineer
Duuhh Nyingi mno hiyo, labda itategemea finishing Yako itakuwaje, sisi ni wazee wa tyles za kawaida na finishing za bei poaMkuu kwa unavyoona mpaka umalize unaweza tumia pesa kiasi gani?
Million 70 inafika?
Mkuu usiniambie naweza kuwa na ghorofa kwa less than 70 millions...Duuhh Nyingi mno hiyo, labda itategemea finishing Yako itakuwaje, sisi ni wazee wa tyles za kawaida na finishing za bei poa
Kwa kweli inategemea na ramani Yako na mkoa upi unajenga lakini ukiwa na 40M angza utahamia mengine utaendelea ukiwemo.Mkuu usiniambie naweza kuwa na ghorofa kwa less than 70 millions...
Makadilio yako unaweza kutumia shilling ngapi mpaka unaamia?
Haukutumia NONDO 16mm?Nimemaliza msingi:
Nondo 12mm ni 48
Nondo 8mm ni 15
Cement ni 61
Kokoto Mende moja na fuso moja
Mchanga Mende 1 na gari ndogo 2
Nimetumia kana 8.7M kwa mambo yote.
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
kakosea ?Haukutumia NONDO 16mm?
nyie ndio mnaotufaa hapaNi kweli chuma iko juu Sana, Ila 50M ni mbali Sana mkuu. Hiyo ramani yake hata sio kubwa kivile.
Nimejenga msingi mkubwa kuzidi huo kwa size na ugumu wa mazingira. Ila umekula around 22M, tena ni mkoa wenye vitu bei juu zaidi.