opondo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 526
- 1,321
Kwa wenyeji na ambao wameshafika Maeneo hayo, Mimi ni Mwalimu Niko kigoma miaka 25 Sasa, nimepata mtu wa Kubadilishana nae mmoja kanitafuta yupo kondoa dc kata ya hondomairo Mwingine yupo bumbuli (mbelei)...
huko Mimi sio mwenyeji Lakini kwa mazingira ya huku kigoma naona ni changamoto, nafikiria mambo mawili. Nihamie kondoa Lakini familia ikae singida/babati au nihamie bumbuli (mombo) familia ikae Dar-es-salam huku wakiendelea na ujasiriamali.
Ni sehemu hipo Bora kati ya hizo mbili kwa ajiri ya mpambano wa kujikwamua na kukimbia umaskini? Mtaji ninao 5million.