Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda kwa huko singida au babati ila kwa dar akikutana na hawa vijana wa hovyo atawahonga mpaka huwo mtajiKingine mkuu swala la kufanya ufuska anaweza fanya hata nikiwa nae, ananijua nilivyo maana hata nikihisi amejaribu kufanya huyo ni safari ya kwenda kwao.
Unataka kufanya biashara gani?Nategemea idea yako mkuu, singida naona ushindani sio mkubwa sana, nikianza na million 5 pale itakua rahisi Kutoboa, kondoa singida ni kama 10,000 Lakini mombo dar ni 20,000/=
Huwezi mlinda mtu mwenye maujanja kama mwenyewe, kwenye Dunia hii, usijipe kazi ya kuchunga mtu,Kingine mkuu swala la kufanya ufuska anaweza fanya hata nikiwa nae, ananijua nilivyo maana hata nikihisi amejaribu kufanya huyo ni safari ya kwenda kwao.
Nje ya mada.Kwa wenyeji na ambao wameshafika Maeneo hayo, Mimi ni Mwalimu Niko kigoma miaka 25 Sasa, nimepata mtu wa Kubadilishana nae mmoja kanitafuta yupo kondoa dc kata ya hondomairo Mwingine yupo bumbuli (mbelei)...
huko Mimi sio mwenyeji Lakini kwa mazingira ya huku kigoma naona ni changamoto, nafikiria mambo mawili. Nihamie kondoa Lakini familia ikae singida/babati au nihamie bumbuli (mombo) familia ikae Dar-es-salam huku wakiendelea na ujasiriamali.
Ni sehemu hipo Bora kati ya hizo mbili kwa ajiri ya mpambano wa kujikwamua na kukimbia umaskini? Mtaji ninao 5million.
Basi navyoona,nenda kwanza kituo Cha kazi unachotaka kuamia angalia km Kati ya hivyo vitu kipi unaweza fanya kulingana na mazingira hayo kwanza kabla ya kufilia kumpeleka wife sehem nyingine,maana biashara ya mbali inamatatizo yake km ulishawahi kufungua biashara unaweza kulisemea hiliIdea zangu mkuu.
NAFAKA, PHONE AND ACCECORIES, VIFAA VYA UJENZI NA UMEME, BIASHARA YA VYOMBO... hiyo ndio top four yangu.
We ni mwalimu wa sayansi?Nimeanza na degree mkuu tgts D3 805,000/= baada ya makato ni 671,000/= Nina mwaka mmoja kazini.
karibu ya Bumbuli ni Tangaafikiria mambo mawili. Nihamie kondoa Lakini familia ikae singida/babati au nihamie bumbuli (mombo) familia ikae Dar-es-salam huku wakiendelea na ujasiriamali.
Sawa asante kwa ushauri wako nitaufanyia kazi.Basi navyoona,nenda kwanza kituo Cha kazi unachotaka kuamia angalia km Kati ya hivyo vitu kipi unaweza fanya kulingana na mazingira hayo kwanza kabla ya kufilia kumpeleka wife sehem nyingine,maana biashara ya mbali inamatatizo yake km ulishawahi kufungua biashara unaweza kulisemea hili
Lengo la kutenga familia ni kwamba Mimi niishi huko vijijini huku napambana na kilimo na ufugaji Lakini wife nimuweke mjini afanye biashara, Kila weekend nakua naenda town kwenye familia Pamoja na ku-supervise hiyo biashara ambayo nimefungua.Bumbuli kilimo kama makabichi ,viazi na matunda Kwa sana.Ila tambua Bumbuli ni sehemu ndogo sana ni sehemu ya lushoto bora kondoa wilayani patakuwa na fursa nyingi.
Pia sijakuelwa hapo unaposema kutenga familia
Unaweza nambia nauli ya singida kondoa na singida ,babati? Nakumbuka kondoa katesh Ilikua 5000Bora Kondoa kuliko Bumbuli, kondoa una connection za karibu kama Dom, Singida, na Babati. Kondoa pia kuna maeneo pale yamechangamka kama Chemba tofauti na Bumbuli.