Naomba kujuzwa hali ya maisha na fursa kati ya bumbuli (mombo) na kondoa dc

Hapo ndo utaharibu wife usimpe pesa yako, kama unampango wa biashara fanya mwenyewe, kondoa ni pakame biashara ambao inaweza kukutoa ni kuleta daga za kigoma kuwauzia wana shida ya mboga sana, kule mumbuli sioni fursa watu wengi ni wachovu.
Mkuu, hivi upo tamam kweli...🤔
Yaani huyu mwalimu amekaa huko Kigoma for 25 years, then yawezekana wamekichanga kwa pamoja na mkewe hadi wakapata hiyo 5millions..... alafu eti wewe unamshauri kabisa kwamba (mkuu usimpe mwanamke pesa yako).... na wakati huo unamshauri yawezekana wewe ni jobless na haujawahi hata kujaribu kuishi na dem geto...🤣
Nimeona hapo mahali, eti mwalimu amekushukuru kabisa kwa mchango wako ulivyo mshauri....😜
 
Sina miaka 25 kigoma mkuu, Ila Nina miaka 25 ya kuzaliwa, nimeajiriwa mwaka Jana Nina mwaka mmoja kazini. Mke nimeoa mwezi uliopita.
 
Mtu kauliza Kuhusu sehemu bora, Mnaleta ujuaji na Familia za watu, Vijana mda wote wanawaza kupigiwa ndio maana stress zinawaua, kama mtu hajatulia unapigiwa mpka chumbani kwako...

Twende kwenye Mada.

Bumbuli haipo Mombo,
Mombo ni korogwe, ni njiani kuelekea bumbuli ambayo ni halmashauri nyingine ndani ya Wilaya ya Lushoto.

Kwahio Rout yako inakua

Mombo - Soni - Mbelei - Bumbuli.

Kama Shule Ni mbelei una uhakika, basi ni shule nzuri, ina mpaka advance, kwa ufupi ndio kama shule kubwa kwa halmashauri

Unaweza ukaishi hata Soni Central, ukitaka kwenda Dar miezi ya Nyuma ilikua hata 15k unaenda asaivi 18k unatoka mbelei saa 12 : 30 dar Unaingia Saa tano asubuhi, arusha nako 15k, Dom 30k, Moro 15k,.

NOTE : Kama Ni shule tofauti na Mbelei uliyoitaja..
Labda iwe Soni Day(hii ndio ipo njiani unatoka shuleni ndani ya Dk moja upo main road ya Dar) au angalau Bumbuli sec yenyewe ipo Central ila ni mbali, kinyume na hapo ACHA KABISA. Kuna shule huko unaenda kwa kutambaa..

Kuhusu Kilimo kipo Hasa mboga mboga, ufugaji n.k
Vyakula, Matunda na Mboga Ni CHEAP MNOOOOO, hasa ukiishi soni,
Hali ya hewa ni ya Ubaridi kiasi, Ila kwa ufupi ni rafiki.

Biashara Ni Changamoto kiasi kwa mgeni, kuna ile kujuana.

Singida Kalime Arizeti, Babati vitunguu,
Kondoa kafuge...., huku kote jiandae kwa jua la utosi.
Kama hutojali Taja Shule na huku nikupe Taarifa.

Call me Journey Man.
 
Hata kutoka mombo kwenda korogwe nauli ni hizo hizo kwa sababu pale mombo ni center.
sema bumbuli unapanda juu milimani huko.
Kuhusu fursa vipi? Kilimo na ufugaji? Na ukaribu KUFIKA dar.
 
Mtu kauliza Kuhusu sehemu bora, Mnaleta ujuaji na Familia za watu, Vijana mda wote wanawaza kupigiwa ndio maana stress zinawaua, kama mtu hajatulia unapigiwa mpka chumbani kwako...

Twende kwenye Mada.

Bumbuli haipo Mombo,
Mombo ni korogwe, ni njiani kuelekea bumbuli ambayo ni halmashauri nyingine ndani ya Wilaya ya Lushoto.

Kwahio Rout yako inakua

Mombo - Soni - Mbelei - Bumbuli.

Kama Shule Ni mbelei una uhakika, basi ni shule nzuri, ina mpaka advance, kwa ufupi ndio kama shule kubwa kwa halmashauri

Unaweza ukaishi hata Soni Central, ukitaka kwenda Dar miezi ya Nyuma ilikua hata 15k unaenda asaivi 18k unatoka mbelei saa 12 : 30 dar Unaingia Saa tano asubuhi, arusha nako 15k, Dom 30k, Moro 15k,.

NOTE : Kama Ni shule tofauti na Mbelei uliyoitaja..
Labda iwe Soni Day(hii ndio ipo njiani unatoka shuleni ndani ya Dk moja upo main road ya Dar) au angalau Bumbuli sec yenyewe, kinyume na hapo ACHA KABISA. Kuna shule huko unaenda kwa kutambaa..

Kuhusu Kilimo kipo Hasa mboga mboga, ufigaji n.k
Vyakula, Matunda na Mboga Ni CHEAP MNOOOOO, hasa ukiishi soni,

Biashara Ni Changamoto kiasi kwa mgeni, kuna ile kujuana.

Singida Kalime Arizeti, Babati vitunguu,
Kondoa kafuge....

Call me Journey Man.
Shukrani sana, yeye yupo mbelei Lakini tatizo la halmashauri zetu unaweza kureport Hapo ukapelekwa milimani huko, Lakini kwa mujibu wa ulivyochambua naona kondoa ndio best kwa sababu imezungukwa na mikoa mitatu (singida,Manyara na Dom center yenyewe)
 
Kuhusu fursa vipi? Kilimo na ufugaji? Na ukaribu KUFIKA dar.
Fursa za ufugaji sijajua kwa kweli ila kilimo unaweza fanya
kutoka mombo kwenda dar ni pana kamwendo.
ingawa kuna bus huwa zinatoka lushoto/dar na kurudi siku hiyo hiyo.
 
Shukrani sana, yeye yupo mbelei Lakini tatizo la halmashauri zetu unaweza kureport Hapo ukapelekwa milimani huko, Lakini kwa mujibu wa ulivyochambua naona kondoa ndio best kwa sababu imezungukwa na mikoa mitatu (singida,Manyara na Dom center yenyewe)
Hio uhakikaa, nina Mshkaji alipangiwa Soni Central, Kufika kuripoti kapelekwa Mbelei..

Huyo jamaa ni ajira ya mwaka gani?
 
Sijamuuliza Lakini nadhani sio miaka mingi ni Mwl wa physics na chemistry.
 
Ahaa basi Sio huyo nimjuaye,
Pia sidhani kama Ndani ya mwaka mmoja unabadilisha kituo kirahisi, Labda kama una connection.
 
Ukipata wa kubadilishana nae ni chap tu, UHAMISHO WA moja kwa moja ndio unachangamoto.
 
Mtu kauliza Kuhusu sehemu bora, Mnaleta ujuaji na Familia za watu, Vijana mda wote wanawaza kupigiwa ndio maana stress zinawaua, kama mtu hajatulia unapigiwa mpka chumbani kwako...

Twende kwenye Mada.

Bumbuli haipo Mombo,
Mombo ni korogwe, ni njiani kuelekea bumbuli ambayo ni halmashauri nyingine ndani ya Wilaya ya Lushoto.

Kwahio Rout yako inakua

Mombo - Soni - Mbelei - Bumbuli.

Kama Shule Ni mbelei una uhakika, basi ni shule nzuri, ina mpaka advance, kwa ufupi ndio kama shule kubwa kwa halmashauri

Unaweza ukaishi hata Soni Central, ukitaka kwenda Dar miezi ya Nyuma ilikua hata 15k unaenda asaivi 18k unatoka mbelei saa 12 : 30 dar Unaingia Saa tano asubuhi, arusha nako 15k, Dom 30k, Moro 15k,.

NOTE : Kama Ni shule tofauti na Mbelei uliyoitaja..
Labda iwe Soni Day(hii ndio ipo njiani unatoka shuleni ndani ya Dk moja upo main road ya Dar) au angalau Bumbuli sec yenyewe ipo Central ila ni mbali, kinyume na hapo ACHA KABISA. Kuna shule huko unaenda kwa kutambaa..

Kuhusu Kilimo kipo Hasa mboga mboga, ufugaji n.k
Vyakula, Matunda na Mboga Ni CHEAP MNOOOOO, hasa ukiishi soni,
Hali ya hewa ni ya Ubaridi kiasi, Ila kwa ufupi ni rafiki.

Biashara Ni Changamoto kiasi kwa mgeni, kuna ile kujuana.

Singida Kalime Arizeti, Babati vitunguu,
Kondoa kafuge...., huku kote jiandae kwa jua la utosi.
Kama hutojali Taja Shule na huku nikupe Taarifa.

Call me Journey Man.
Shule inaitwa hondomairo secondary
 
Elli tia neno mkuu
Kondoa naona Kuna fursa ya kilimo zaidi, napendelea kilimo zaidi, nimefika Kondoa, Kuna biashara ya mafuta ya Alizeti, Kwa 5m unaweza ukanunua Alizeti ukahifadhi ukaja kukamua wakati msimu ukiisha, Kuna mashine za kukodi pale na Kuna viwanda vidogo vidogo vingi.

Kwa Bumbuli, hasa hapo Mbeleni, ni kama 10km kutoka Mainroad ya Lushoto -Tanga.
Kwa mbelei Sina uhakika zaidi ya mashamba mengi kuwa ya Chai! Maybe ukanunue Wine 🍷 na kuuza kutoka Kwa Mapadre pale Sakarani.

Ndio maoni yangu hayo. Asante
 
Mkuu, hivi upo tamam kweli...[emoji848]
Yaani huyu mwalimu amekaa huko Kigoma for 25 years, then yawezekana wamekichanga kwa pamoja na mkewe hadi wakapata hiyo 5millions..... alafu eti wewe unamshauri kabisa kwamba (mkuu usimpe mwanamke pesa yako).... na wakati huo unamshauri yawezekana wewe ni jobless na haujawahi hata kujaribu kuishi na dem geto...[emoji1787]
Nimeona hapo mahali, eti mwalimu amekushukuru kabisa kwa mchango wako ulivyo mshauri....[emoji12]
Mkuu hujamfamu. Ana umri 25 yrs kazini ana mwaka mmoja tu
 
Sina miaka 25 kigoma mkuu, Ila Nina miaka 25 ya kuzaliwa, nimeajiriwa mwaka Jana Nina mwaka mmoja kazini. Mke nimeoa mwezi uliopita.
Mkuu mtu huishi na mkewe elewa vizuri. Kwa nini unataka kumweka mtoto wa watu mnadani wajanja wamgombanie, bint mwenyewe bado mdogo kwa hesabu za haraka hazidi 20yrs!
 
Back
Top Bottom