Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hivi upo tamam kweli...🤔Hapo ndo utaharibu wife usimpe pesa yako, kama unampango wa biashara fanya mwenyewe, kondoa ni pakame biashara ambao inaweza kukutoa ni kuleta daga za kigoma kuwauzia wana shida ya mboga sana, kule mumbuli sioni fursa watu wengi ni wachovu.
Hata kutoka mombo kwenda korogwe nauli ni hizo hizo kwa sababu pale mombo ni center.Basi alipo yeye kwenda mombo ni 1000
Sina miaka 25 kigoma mkuu, Ila Nina miaka 25 ya kuzaliwa, nimeajiriwa mwaka Jana Nina mwaka mmoja kazini. Mke nimeoa mwezi uliopita.Mkuu, hivi upo tamam kweli...🤔
Yaani huyu mwalimu amekaa huko Kigoma for 25 years, then yawezekana wamekichanga kwa pamoja na mkewe hadi wakapata hiyo 5millions..... alafu eti wewe unamshauri kabisa kwamba (mkuu usimpe mwanamke pesa yako).... na wakati huo unamshauri yawezekana wewe ni jobless na haujawahi hata kujaribu kuishi na dem geto...🤣
Nimeona hapo mahali, eti mwalimu amekushukuru kabisa kwa mchango wako ulivyo mshauri....😜
Shukrani sana, yeye yupo mbelei Lakini tatizo la halmashauri zetu unaweza kureport Hapo ukapelekwa milimani huko, Lakini kwa mujibu wa ulivyochambua naona kondoa ndio best kwa sababu imezungukwa na mikoa mitatu (singida,Manyara na Dom center yenyewe)Mtu kauliza Kuhusu sehemu bora, Mnaleta ujuaji na Familia za watu, Vijana mda wote wanawaza kupigiwa ndio maana stress zinawaua, kama mtu hajatulia unapigiwa mpka chumbani kwako...
Twende kwenye Mada.
Bumbuli haipo Mombo,
Mombo ni korogwe, ni njiani kuelekea bumbuli ambayo ni halmashauri nyingine ndani ya Wilaya ya Lushoto.
Kwahio Rout yako inakua
Mombo - Soni - Mbelei - Bumbuli.
Kama Shule Ni mbelei una uhakika, basi ni shule nzuri, ina mpaka advance, kwa ufupi ndio kama shule kubwa kwa halmashauri
Unaweza ukaishi hata Soni Central, ukitaka kwenda Dar miezi ya Nyuma ilikua hata 15k unaenda asaivi 18k unatoka mbelei saa 12 : 30 dar Unaingia Saa tano asubuhi, arusha nako 15k, Dom 30k, Moro 15k,.
NOTE : Kama Ni shule tofauti na Mbelei uliyoitaja..
Labda iwe Soni Day(hii ndio ipo njiani unatoka shuleni ndani ya Dk moja upo main road ya Dar) au angalau Bumbuli sec yenyewe, kinyume na hapo ACHA KABISA. Kuna shule huko unaenda kwa kutambaa..
Kuhusu Kilimo kipo Hasa mboga mboga, ufigaji n.k
Vyakula, Matunda na Mboga Ni CHEAP MNOOOOO, hasa ukiishi soni,
Biashara Ni Changamoto kiasi kwa mgeni, kuna ile kujuana.
Singida Kalime Arizeti, Babati vitunguu,
Kondoa kafuge....
Call me Journey Man.
Fursa za ufugaji sijajua kwa kweli ila kilimo unaweza fanyaKuhusu fursa vipi? Kilimo na ufugaji? Na ukaribu KUFIKA dar.
Hio uhakikaa, nina Mshkaji alipangiwa Soni Central, Kufika kuripoti kapelekwa Mbelei..Shukrani sana, yeye yupo mbelei Lakini tatizo la halmashauri zetu unaweza kureport Hapo ukapelekwa milimani huko, Lakini kwa mujibu wa ulivyochambua naona kondoa ndio best kwa sababu imezungukwa na mikoa mitatu (singida,Manyara na Dom center yenyewe)
Ohhhhhhh.....Sina miaka 25 kigoma mkuu, Ila Nina miaka 25 ya kuzaliwa, nimeajiriwa mwaka Jana Nina mwaka mmoja kazini. Mke nimeoa mwezi uliopita.
Ahaa basi Sio huyo nimjuaye,Sijamuuliza Lakini nadhani sio miaka mingi ni Mwl wa physics na chemistry.
Shule inaitwa hondomairo secondaryMtu kauliza Kuhusu sehemu bora, Mnaleta ujuaji na Familia za watu, Vijana mda wote wanawaza kupigiwa ndio maana stress zinawaua, kama mtu hajatulia unapigiwa mpka chumbani kwako...
Twende kwenye Mada.
Bumbuli haipo Mombo,
Mombo ni korogwe, ni njiani kuelekea bumbuli ambayo ni halmashauri nyingine ndani ya Wilaya ya Lushoto.
Kwahio Rout yako inakua
Mombo - Soni - Mbelei - Bumbuli.
Kama Shule Ni mbelei una uhakika, basi ni shule nzuri, ina mpaka advance, kwa ufupi ndio kama shule kubwa kwa halmashauri
Unaweza ukaishi hata Soni Central, ukitaka kwenda Dar miezi ya Nyuma ilikua hata 15k unaenda asaivi 18k unatoka mbelei saa 12 : 30 dar Unaingia Saa tano asubuhi, arusha nako 15k, Dom 30k, Moro 15k,.
NOTE : Kama Ni shule tofauti na Mbelei uliyoitaja..
Labda iwe Soni Day(hii ndio ipo njiani unatoka shuleni ndani ya Dk moja upo main road ya Dar) au angalau Bumbuli sec yenyewe ipo Central ila ni mbali, kinyume na hapo ACHA KABISA. Kuna shule huko unaenda kwa kutambaa..
Kuhusu Kilimo kipo Hasa mboga mboga, ufugaji n.k
Vyakula, Matunda na Mboga Ni CHEAP MNOOOOO, hasa ukiishi soni,
Hali ya hewa ni ya Ubaridi kiasi, Ila kwa ufupi ni rafiki.
Biashara Ni Changamoto kiasi kwa mgeni, kuna ile kujuana.
Singida Kalime Arizeti, Babati vitunguu,
Kondoa kafuge...., huku kote jiandae kwa jua la utosi.
Kama hutojali Taja Shule na huku nikupe Taarifa.
Call me Journey Man.
Kondoa naona Kuna fursa ya kilimo zaidi, napendelea kilimo zaidi, nimefika Kondoa, Kuna biashara ya mafuta ya Alizeti, Kwa 5m unaweza ukanunua Alizeti ukahifadhi ukaja kukamua wakati msimu ukiisha, Kuna mashine za kukodi pale na Kuna viwanda vidogo vidogo vingi.Elli tia neno mkuu
Mkuu hujamfamu. Ana umri 25 yrs kazini ana mwaka mmoja tuMkuu, hivi upo tamam kweli...[emoji848]
Yaani huyu mwalimu amekaa huko Kigoma for 25 years, then yawezekana wamekichanga kwa pamoja na mkewe hadi wakapata hiyo 5millions..... alafu eti wewe unamshauri kabisa kwamba (mkuu usimpe mwanamke pesa yako).... na wakati huo unamshauri yawezekana wewe ni jobless na haujawahi hata kujaribu kuishi na dem geto...[emoji1787]
Nimeona hapo mahali, eti mwalimu amekushukuru kabisa kwa mchango wako ulivyo mshauri....[emoji12]
Kuwa tu mwalimu tayari ushafeli maishaNimesha tupia madini mkuu, humu jf kuna vijana wa hovyo sana....[emoji1787] anamshauri mwalimu asimpe pesa mkewe wakati yeye hana hata dem anae kaanae geto...[emoji12]
Mkuu mtu huishi na mkewe elewa vizuri. Kwa nini unataka kumweka mtoto wa watu mnadani wajanja wamgombanie, bint mwenyewe bado mdogo kwa hesabu za haraka hazidi 20yrs!Sina miaka 25 kigoma mkuu, Ila Nina miaka 25 ya kuzaliwa, nimeajiriwa mwaka Jana Nina mwaka mmoja kazini. Mke nimeoa mwezi uliopita.