Naomba kujuzwa hali ya maisha na fursa kati ya bumbuli (mombo) na kondoa dc

Nakwambia kwa sababu nauzoefu kaa naye karibu uyo kiumbe dhaifu kama ni kondoa kaeni wote kondoa kma Ni uko bondo kaeni wote uko bondo na kama Ni biashara afanye hapo hapo mkiwa wote
Sawa mkuu nimekuelewa.
 
Bumbuli kilimo kama makabichi ,viazi na matunda Kwa sana.Ila tambua Bumbuli ni sehemu ndogo sana ni sehemu ya lushoto bora kondoa wilayani patakuwa na fursa nyingi.

Pia sijakuelwa hapo unaposema kutenga familia
 
Kingine mkuu swala la kufanya ufuska anaweza fanya hata nikiwa nae, ananijua nilivyo maana hata nikihisi amejaribu kufanya huyo ni safari ya kwenda kwao.
labda kwa huko singida au babati ila kwa dar akikutana na hawa vijana wa hovyo atawahonga mpaka huwo mtaji
 
Nategemea idea yako mkuu, singida naona ushindani sio mkubwa sana, nikianza na million 5 pale itakua rahisi Kutoboa, kondoa singida ni kama 10,000 Lakini mombo dar ni 20,000/=
Unataka kufanya biashara gani?
 
Unataka kufanya biashara gani?
Idea zangu mkuu.
NAFAKA, PHONE AND ACCECORIES, VIFAA VYA UJENZI NA UMEME, BIASHARA YA VYOMBO... hiyo ndio top four yangu.
 
Kingine mkuu swala la kufanya ufuska anaweza fanya hata nikiwa nae, ananijua nilivyo maana hata nikihisi amejaribu kufanya huyo ni safari ya kwenda kwao.
Huwezi mlinda mtu mwenye maujanja kama mwenyewe, kwenye Dunia hii, usijipe kazi ya kuchunga mtu,
 
Nje ya mada.
Unakaa na mkeo mbali hivi unawezaje?

#YNWA
 
Idea zangu mkuu.
NAFAKA, PHONE AND ACCECORIES, VIFAA VYA UJENZI NA UMEME, BIASHARA YA VYOMBO... hiyo ndio top four yangu.
Basi navyoona,nenda kwanza kituo Cha kazi unachotaka kuamia angalia km Kati ya hivyo vitu kipi unaweza fanya kulingana na mazingira hayo kwanza kabla ya kufilia kumpeleka wife sehem nyingine,maana biashara ya mbali inamatatizo yake km ulishawahi kufungua biashara unaweza kulisemea hili
 
Sawa asante kwa ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Bumbuli kilimo kama makabichi ,viazi na matunda Kwa sana.Ila tambua Bumbuli ni sehemu ndogo sana ni sehemu ya lushoto bora kondoa wilayani patakuwa na fursa nyingi.

Pia sijakuelwa hapo unaposema kutenga familia
Lengo la kutenga familia ni kwamba Mimi niishi huko vijijini huku napambana na kilimo na ufugaji Lakini wife nimuweke mjini afanye biashara, Kila weekend nakua naenda town kwenye familia Pamoja na ku-supervise hiyo biashara ambayo nimefungua.
 
Bora Kondoa kuliko Bumbuli, kondoa una connection za karibu kama Dom, Singida, na Babati. Kondoa pia kuna maeneo pale yamechangamka kama Chemba tofauti na Bumbuli.
 
Bora Kondoa kuliko Bumbuli, kondoa una connection za karibu kama Dom, Singida, na Babati. Kondoa pia kuna maeneo pale yamechangamka kama Chemba tofauti na Bumbuli.
Unaweza nambia nauli ya singida kondoa na singida ,babati? Nakumbuka kondoa katesh Ilikua 5000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…