Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Fuata taratibu za kiserikaliWasalam wana Jamvi.
Naomba kwa wataalam wa kariakoo mnipe namna bora ya kupata Fremu kariakoo maana Naona madalali ni wengi nisije kupigwa hela yenyewe ya Mkopo hii.
Wasalam wana Jamvi.
Naomba kwa wataalam wa kariakoo mnipe namna bora ya kupata Fremu kariakoo maana Naona madalali ni wengi nisije kupigwa hela yenyewe ya Mkopo hii.
Nataka Biashara ya nguo za watoto...Mtaa bado sijajua ila wenye bidhaa iyo...kuna jengo linajengwa kuulizia kilemba eti 18mUnatak mtaa gan na umeambiwa kilemba kias gan
Mkuu kilemba n kiingilio sio kod apo bado kodhasjasema kaambiwa n kias gan kwa mwezDue 18 kwa mwaka au mwezi?
Ah! Watakuua hao. Kuna mitaa kwa nguo hzo ukikaa huuzi mkuu. Sema unalipa kodi kias gan kwa mwez mm nikutaftie frem waache ujinga hao jamaa.Nataka Biashara ya nguo za watoto...Mtaa bado sijajua ila wenye bidhaa iyo...kuna jengo linajengwa kuulizia kilemba eti 18m
Kilemba sio sehem zote mkuu kuna watu niliwasaidia mchikichi na swahili walipata pale ila undergoundKuna sehemu nilipata kwa m12 ikiwa bado Kuna Kodi ya miezi 6, Kodi milioni kwa mwezi,kilemba M6,kkoo kilemba huwezi kukwepa
Ila ukiwa na jengo kkoo unakula kirahisi mno
Jengo la Columbia first floor ulienda?Nataka Biashara ya nguo za watoto...Mtaa bado sijajua ila wenye bidhaa iyo...kuna jengo linajengwa kuulizia kilemba eti 18m
Sawa Mzee nitaku PMAh! Watakuua hao. Kuna mitaa kwa nguo hzo ukikaa huuzi mkuu. Sema unalipa kodi kias gan kwa mwez mm nikutaftie frem waache ujinga hao jamaa.
kiingilio kodi ipo pembeniDue 18 kwa mwaka au mwezi?
Kilemba ni udalali. Unataka frem mitaa ipi mkuu?kiingilio kodi ipo pembeni
Dunia ya sasa siwezi kwenda kkoo kulipa mamilioni ya kilemba
Ni bora kuchukua frem makumbusho au mwenge na hiyo milioni sita ya kilemba ni yakufanyia matangazo mtandaoni impact yake inaweza kuwa kubwa sana