Naomba kujuzwa namna bora ya kupata fremu Kariakoo

Naomba kujuzwa namna bora ya kupata fremu Kariakoo

Mana frem nyingi kariakoo ni laki 5 mpaka 8 kama ikiwq kubwa ni 1m monthly unalipa kwa miez 6 au mwaka. Kilemba mda nwingine unapimwq tu waone kama unaweza kutoa hiyo wanakulaga wajanja wajanja tu. N wamiliki wachache sana wanatakaga hiko hasa wakiwa wachaga
 
Dunia ya sasa siwezi kwenda kkoo kulipa mamilioni ya kilemba
Ni bora kuchukua frem makumbusho au mwenge na hiyo milioni sita ya kilemba ni yakufanyia matangazo mtandaoni impact yake inaweza kuwa kubwa sana
 
Upo sahihi kabisa na utafanikiwa sana tu maana kule competition ya similar businesses ni ya kutisha wanao perform vizuri kule ni top dawgs wenye financial muscles. If ur smart hata huku nnje ya mji unatajirika fasta tu tena kwa kununua vitu hapo hapo kkoo na kuuza huku nnje ya mji.
 
Back
Top Bottom