Lameckjr
Senior Member
- Sep 26, 2020
- 133
- 247
Ndugu wanajamvi habari zenu,
Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale
Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!!
Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile baada ya kuhitimu chuo nikapata mchongo wa kazi.
Hili wazo lilianza tena kunisumbua yaani kwenda Canada, nikaona isiwe case nikaanza kufuatilia mambo ya passport kwanza nikawa nimepata, then nikaendelea kuchapa kazi, wazo tena likawa kama vile limepotea.
Pale kazini nikawa nimeondoka, then nikawa nimepata kazi Zanzibar aisee si unajua huu ni mji wa kitaliii na wazungu nikili kuwa wazo wakati hii limekuja na nguvu ya ajabu sana.
Yani mambo hayaendi kabisa , akili yote inanitaka nitimize hii ndoto yangu ya muda mrefu ila ishu nakoswa mtu wa kuniongea ideas how nafikaje fikaje Canada, Kama kuna Mtanzania anaishi Canada humu kwa heshima na taadhima tuwasiliane pls.
Ili anisaidie hata kimawazo tu,
Yaani kazi haziendi kbs ,mawazo yangu ni Toronto, vancouver nk
Asante