Habali wakuu. Mimi ni kijana mwenye miaka 24 ndoto yangu kubwa siku moja nifanye kazi au kuishi nje ya Tanzania hasa bara LA Europe. Lkn bado sijui nitafikaje lkn nimeomba kazi kwa njia ya mtandao lkn bado sijapata pia nimejalibu kuwaomba watanzania ambao wapo huko lkn bado.nimesomea laboratory industry na certificate. Naombeni ushauli wenu ndugu zanguni kwa yeyote ambaye anamwangaza wa huko.ingawa nimesomea fani hiyo lkn nitafanya kazi yoyote ambayo ni sawa kufanya
1-Kwanza una fani gani tuanzie hapo?
2- una umri gani pia.
3_ nje unataka nchi gani
4- desire yako ama passion yako ya Kwenda nje unategemea Nini ama unapenda Nini Ni kupata hela ama Ni kwenda nje?
5- swali namba 4 ukilijibu nitajua kuwa ukitemewa mate na katoto ka kizungu uta react vipi.
6- nje unataka ukafanye kazi gani ambazo unadhani Wana uhaba na watu wa dizaini yako. Kiushari jitahidi uwe na international driving license,Ajira mfano za USA Ni kufikia jeshini Napo Kuna mchakato.
7- una miliki Bei gani benki sio kuwa unipe hela,nje Ni kwa nadra utaenda kwa njaa.mwenyewe napambana nikipata hela ya kununu apartment nje nasepa asubuhi kabla jogoo hajawika.
8- jitahidi uwe na hela uende Kama unaenda kwa utalii ama kishule na Haa lazima uwe na hela ya maana.
9- nje kupata kazi sio lelemama ,nikikumbuka Waka meruni seganelese walivyokuwa wanalala nje na kupigwa na baridi Mana wamezamia.
10- Kuna washkaji umewaon from Nigeria to ureno kisiwa fulani hivi wamekaa sijui sehemu gani ya meli ,siku 11 majini utaweza upepo na baridi na mawimbi majini.
11- Kama Ni hela hata bongo zipo sema saivi unacho kitu kinaitwa mind perceptual blindness,yaani umependa hupendwi so wewe utatafuta kila mbinu ujiaminishe kuwa unapendwa so hutoweza kuona hata aliolewa bado itaamini ipo siku atakukumbuka ama watakosana akurudie so ndio Kama hii ipo kwako huwezi ona fursa.
12- nje hasahasa lengo ama your purposes Ni Nini ama Ni pesa. Uliambiwa kuwa ufanye kazi bongo ulipwe 4M kwa mwezi na nje Kuna kazi unalipwa 2.5M utasimamia wapi wewe bado utataka kwenda nje ama utabakia nyumbani kwenu Tanzania?
13- nje Kama unapapenda jitahidi utafute hela uzame,hizo green card inaweza ikakubali.
14- Kuna mdada mmoja hivi nitakuunganisha naye yupo nje huwa anatoa ushauri namna ya kuingia Kama huko kanada na kampuni ambazo alitumia kuingia huko,Ila kwanza jibu hayo maswali yako. Kumbuka usitoe hela ,usiwe mwepesi wa kutoa pesa namie sihitaji hela yako Wala uje pm kila kitu tutamalizana hapahapa. Mana my own mind skills put food on the table.
15-naomba nijue motive yako ya Kwenda nje Ni Nini hasa hasa ama Ni kuoa mzungu . Be transparent itasaidia. Kama Ni hela zipo hapa hapa home sema huzioni.
16- Kama unapapenda mno nje hata ukipigwa mtaani na vitoto vya kizungu muda huo unaitwa monkey,ama unaulizwa why Africans love so much sex,music,why m Jackson did operation,why are you black,why are you here in our country, don't you've schools/job in your country?Mara unakaa kwa kiti kwa mwendo Kasi mtu ananyanyuka anakuacha ,I don't know how mentally strong you're to handle these situations.
17- are both mentally and physically healthy?
18- nje sio pa mchezo ndio mjini kule huwa nashangaa mtu yupo dar Arusha ama mwanza anajiona naye Kama yupo mjini na huku yupo vijiji vya Africa vilivyochangamka kidogo. So you've to be strong and touugh Mana kule ndio mjini hata dola Mia yako hupati pusi ama hii buku chai kikombe kikavu hupati so unajiandaje na huko.
Once upon time I was like you and still like you one day I wanna shift my generation from my africa nothing more nothing less.